Jaji wa michongo VS Shahidi wa hisia, Nani mkali?

Week kadhaa wakati shauri dogo lililomhusu Mohamed Lingw'enya likiendeshwa mahakamani, Shahidi Mchome aliweka bayana mahakamani kuwa Kuna majaji wa michongo!

Leo jaji Tiganga kaja kwa mfumo wa kujibu mapigo akimwita shahidi huyo kuwa ni Shahidi wa Hisia

"Na Juu ya maslahi kwamba ni shahidi mwenye maslahi, Ni kweli amesema kwamba amekuwa haridhiki kuanzia Kesi mpaka Kwa Jaji mwenyewe. Mahakama inaona yeye ni Shahidi wa hisia ambaye amekuja mahakamani kutoa hisia zake"

Sasa, jaji wa michongo na shahidi wa Hisia , nani mkali??
Tuwapandishe kizimbani tushuhudie nani mkali🤔.
 
Ila yule shahidi alibugi sana,, yaani anaingiza siasa mahakamani... Alitakiwa kueleza facts na sio hisia zake
 
Week kadhaa wakati shauri dogo lililomhusu Mohamed Lingw'enya likiendeshwa mahakamani, Shahidi Mchome aliweka bayana mahakamani kuwa Kuna majaji wa michongo!

Leo jaji Tiganga kaja kwa mfumo wa kujibu mapigo akimwita shahidi huyo kuwa ni Shahidi wa Hisia

"Na Juu ya maslahi kwamba ni shahidi mwenye maslahi, Ni kweli amesema kwamba amekuwa haridhiki kuanzia Kesi mpaka Kwa Jaji mwenyewe. Mahakama inaona yeye ni Shahidi wa hisia ambaye amekuja mahakamani kutoa hisia zake"

Sasa, jaji wa michongo na shahidi wa Hisia , nani mkali??
Unajua unapoendesha kesi hasa kesi yenye mawakili,inahitaji akili kuliko hisia,Kuna kosa naliona linafanyika kwenye hii kesi Chadema badala ya kushindana na serikali wanashindana na mahakama that is akqward and negligence.Unaweza kua unamtengenezea ugumu mteja zaidi.Offcourse kunaweza kua na political issues lakini mawakili wanapaswa kua professional zaidi
 
Mnyika aache kushambulia mahakama kwenye hili kesi
 
Bitozo kashatuambia mboye alikosa heshima na adabu sasa matokeo yake imekuwa

1.Kesi ya michongo
2.Majaji wa michongo
3.Mashaidi wa jamuhuri wa michongo
4.DR iliyoletwa mahakamani ya michongo

Uonevu huu ila bitozo sikuizi amepandisha mabega.
 
Back
Top Bottom