JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

Majaji wote ni wateule wa Rais ni watu wake wa karibu mbona kesi za singida na sumbawanga na Biharamuro ushindi ulikwenda chadema?

Kama ni ubovu wa jaji ni yeye mwenyewe hakuna kesi ambayo Rais angeshindwa kuingilia kama angeamua kuinyima uhuru mahakama.

jaji ni binadamu kama hatuna imani na alivyoendesha kesi ni kwa sababu ya ubinadamu wake.

Uko sahihi mama porojo (haf nakutafuta sana nahisi u mzuri sana),lkn kwa hili la Mahanga na ubunge as is in red ntakuambia mpaka kesho JK has interest in it na sishangai kuwa kainfluence matokeo. Ninachoweza sema for sure alimshinikiza/toa maelekezo sana hata Fuime 2010 amtangaze mshindi.
 
CDM kwenye hili msimlaumu mtu hoja za mpendazoe zilikuwa dhaifu sana na hazina mashiko kama chama chenyewe kilivyo kibabaishaji na hoja za uzandiki

sasa hapa si umeandika ujinga tu! kweli wewe dume mbegu za papai.
 
Jaji kuteuliwa na rais haifanyi Jaji asiwe huru, unless huyo jaji ni kichwa maji, hajiamini na hajasoma!
Mbona Utouh anateuliwa na rais na anaibua ma issue kila siku?

Swala sio anateuliwa na nani bali ni mfumo gani mzuri wa kuweka ili wafanye kazi bila woga.

Kwa serikali hii ya CCM hapa Tanzania linawezekana. Hii ni nchi ya kusadikika. Kwani wewe ni mgeni hapa?
 
nimeikuta hii kwa wachangiaji ktk facebook wall ya heche.

nanukuu

" Mimi binafsi nilijua wazi juu ya hilo,kwani hata alipokamatwa na kura na kupelekwa polisi buguruni.Rais kikwete ndio aliyempigia simu mkuu wa polisi kwamba amwachie mara moja.Kama ilishakuwa hivyo nani anaweza kuwa juu ya rais,hata mahakama zinamuangalia rais kabla ya kutoa maamuzi yake.Pia niwape taarifa za ndani,imetolewa amri kutoka kwa mweshiwa kwenda kwa mahakimu wote wanaosimamia kesi zote zinazopiga matokeo ya ccm nchini kote kuhakikisha ccm inashinda kesi hizo.Yule hakimu aliyeipa ushindi chadema kwenye ile kesi sumbawanga,amerudishwa makao makuu na atapangiwa kazi nyingine kwa kukaidi agizo hilo.HII NI SAFARI,HUWEZI KUZUIA WATU WASISAFIRI KWA KUWA NI LAZIMA WATU WATASAFIRI.TUSONGE MBELE.PEOPLES,POWER."


mwisho wa kunukuu

Hata wafanye nini, ccm itakufa tu!!
 
Makongoro Mahanga alikuwa BURSAR pale UDSM na hakuwa na PhD wala Masters wakati huo. Alipata MSc. FINANCE ya STRATHCLYDE,amabayo wanasomea IFM.PhD kapatia Washington International University na anadai ametafiti wasuala ya low cost housing finance na nafikiri nimeshakuta publication hiyo pale UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM PRESS-hata hivyo shahada hiyo ya uzamivu hajathubutu wala hatathubutu kuipeleka hapo TCU ikahakikiwe maana imetolewa na what are called Diploma Mills-ukiwapa fweza wanakuprintia SHAHADA masters and Phd ETI ACCELERATED ANDWORK BASED!
 
kesi huamuliwa kwa sheria na si haki, inaonekana mpendazoe hakuweka ushahahidi vizuri. Ushahidi wa uhakika ndio msingi wa kushinda kesi
 
Sorry, wanaJF, hivi haiwezekani kwa kesi hii dhidi ya mahanga kukatiwa rufani???? maana hoja zote za mlalamikaji zina mashiko maana ktk rufani kesi inapitiwa na majaji si chini ya wawili tofauti na huko mahakama kuu ambapo kesi inahukumiwa na jaji mmoja tu!
 
Jaji kuteuliwa na rais haifanyi Jaji asiwe huru, unless huyo jaji ni kichwa maji, hajiamini na hajasoma!

Mbona Utouh anateuliwa na rais na anaibua ma issue kila siku?

Swala sio anateuliwa na nani bali ni mfumo gani mzuri wa kuweka ili wafanye kazi bila woga.

Mwenzetu umezaliwa na kukulia nje vile au?maana ulichoandika hapa ni tofauti kabisa na hali halisi.Unaamini sana katika sheria lakini utekelezaji wake ni 0.09%....?
 
Ningeomba kwa waliokuwa mahakamani mtupe muhtasari wa hoja za jaji wakati anapangua hoja za mlalamikaji.
 
tuache kupenda vibaya yaani mnaleta cv ya jaji pale ccm inaposhinda tu.ili kumdhalilisha machoni mwa jamii,tuwe wavumilivu sheria ni msumeno
 
Nafikiri huyu Dume la Mbegu hatakuwa dume la chura, hivi leo hapa tanzania bado kuna watu wenye akili kama zako ni aibu
CDM kwenye hili msimlaumu mtu hoja za mpendazoe zilikuwa dhaifu sana na hazina mashiko kama chama chenyewe kilivyo kibabaishaji na hoja za uzandiki
 
Napinga tabia ya huyu jamaa anayesema CCM ya waislamu siyo kweli tuache mambo ya udini matatizo ya mtu mmoja hayawezi kuwa ya dini au kabila fulani tuwe makini katika kuchangia hoja.

hapo tu ndo umeniudhi.Usimfananishe mtu mmoja mmoja na dini nzima ya Uislamu.Mapungufu yake mpe mweyewe ayabebe sio kumhuhsisha na dini coz hata sisi ni wanaCHADEMA na niwaislamu.Dont confuse

 
Back
Top Bottom