JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, May 2, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Jaji Profesa Ibrahim Hamis Juma alikuwa Mkuu wa Kitivo cha Sheria-Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Aliishia mwaka 2006,akimpisha Prof.Sifuni Ernest Mchome ambaye kwasasa yuko TCU.Jaji Juma ni rafiki wa karibu wa Rais Jakaya Kikwete.Ni Mkurya kama alivyo Mahanga.Jaji Juma alianza kuteuliwa,na Rais, kwenye Kamati ya Uchunguzi wa Mauaji ya Wafanyabiashara watatu,yale ya Zombe,iliyokuwa chini ya Uenyekiti wa Jaji Kipenka Mussa.

  Baadaye,mwaka 2008,akateuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.Jaji Juma ni mtu wa msimamo.Ni mtu makini.Msimamo wake na umakini wake umemezwa na uhusiano wake wa karibu na Rais na ukabila wake na Mahanga.Hukumu ya leo haikushtua.Ameamua kadiri ya urefu wa kamba yake...
   
 2. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hauna lolote kuweka ukabila mbele tu
   
 3. T

  Toshack Kibala Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa Mpendazoe ajipange upya kwa uchaguzi mkuu ujao.
   
 4. G

  Galaticos Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mimi thithemi napita tuuu...
   
 5. m

  meemba Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mahanga,jaji na jk ni walewale,chama kilele.Haiwezekani mteule wa raisi aende kinyume na aliyemteua.
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  pia ni muislam kama ilivyo ccm
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Naunga mkono hoja..aakh,,sijui niihame nchi.
   
 8. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Bora umeleta mwanga kwenye shimo, hebu na nyie wengine mjazie jazie ili watu waangalie kama rufaa itapita
   
 9. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,484
  Likes Received: 4,757
  Trophy Points: 280
  .......................leo kanya bata...............???
   
 10. s

  step Senior Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  This is Tz, you never trust anyone. Nchi ya ushikaji shikaji tu kila kitu. MUNGU isaidie nchi hii maana hata viongozi wa dini tunasikia wanahongwa siku hizi sijui tukimbilie wapi??? Umasikini huu mweee!!
   
 11. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Na Mahanga na Mpendazoe ni wakristo safi kama ilivyo CDM. Hukumu hii ya mkristo mmoja kumshinda mwingine
   
 12. Robati

  Robati JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  hivi kwanini asikate rufaa? labda haki itatendeka mbeleni, huwezi jua
   
 13. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Makongoro Mahanga ni Mjaruo naona hauna data za kutosha mkuu.
   
 14. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Wote wasiotenda haki na WALAANIWE
   
 15. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Namchukia Mahanga, CCM, Jaji, JK n.k.
   
 16. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Akate Rufaa Mahakama ya Rufaa
   
 17. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  nimeikuta hii kwa wachangiaji ktk facebook wall ya heche.

  nanukuu

  " Mimi binafsi nilijua wazi juu ya hilo,kwani hata alipokamatwa na kura na kupelekwa polisi buguruni.Rais kikwete ndio aliyempigia simu mkuu wa polisi kwamba amwachie mara moja.Kama ilishakuwa hivyo nani anaweza kuwa juu ya rais,hata mahakama zinamuangalia rais kabla ya kutoa maamuzi yake.Pia niwape taarifa za ndani,imetolewa amri kutoka kwa mweshiwa kwenda kwa mahakimu wote wanaosimamia kesi zote zinazopiga matokeo ya ccm nchini kote kuhakikisha ccm inashinda kesi hizo.Yule hakimu aliyeipa ushindi chadema kwenye ile kesi sumbawanga,amerudishwa makao makuu na atapangiwa kazi nyingine kwa kukaidi agizo hilo.HII NI SAFARI,HUWEZI KUZUIA WATU WASISAFIRI KWA KUWA NI LAZIMA WATU WATASAFIRI.TUSONGE MBELE.PEOPLES,POWER."


  mwisho wa kunukuu
   
 18. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hahahaaaaa waacheni wafu wawazike wafu wenzao. Kwenye hii kesi CDM haikumpa ushirikiano wakutosha Mpendazoe baada yakuona hoja zao hazina nguvu, wakamuacha peke yake katikati ya bahari ajifie mwenyewe. Na leo ndio kufa kwenyewe kwa Mpendazoe, hoja zake zilikuwa dhaifu sana sana.
   
 19. Y

  Yetuwote Senior Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna haja ya rufaa.
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kilio kwa jirani cha nyumbani kichungu!
   
Loading...