kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,163
- 2,223
Jaji amemwagiza Stormy Daniel ambaye ni mcheza filamu za ngono kumlipa fkiasic cha $293,000 Donald Trump kama fidia za gharama ya uendeshaji kesi.
Daniel anadai kwamba alikuw na mahusiano na Trump mwaka 2006 na alilipwa kiasi cha $130,000 kabla ya uchaguzi kama malipo ya kumzuia asije kuzungumza juu ya suala hilo.