Jaji wa mahakama ya California amemwagiza mcheza sinema za ngono kumlipa Trump

kwa-muda

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
1,174
2,000
Jaji amemwagiza Stormy Daniel ambaye ni mcheza filamu za ngono kumlipa fkiasic cha $293,000 Donald Trump kama fidia za gharama ya uendeshaji kesi.
Daniel anadai kwamba alikuw na mahusiano na Trump mwaka 2006 na alilipwa kiasi cha $130,000 kabla ya uchaguzi kama malipo ya kumzuia asije kuzungumza juu ya suala hilo.
 
Volatility

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
2,801
2,000
Democrats wanadhani haya mambo yangemchafua Trump, Marekani yote inajua kwamba Trump alikuwa na mpaka sasa ameshindwa kuacha tabia yake ya kuwa rough na wanawake, na sio kwamba yuko rough, bali anawapenda na bado walimchagua kuwa mgombea kwa ticket ya republicans na wakamchagua kuwa Rais kabisa kabisa.

They should work together with Mr. President to Make America Great Again
 
Omary Ndama

JF-Expert Member
Apr 16, 2017
3,379

Kwaiyo we Ni mmarekani mkuu
 
Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
22,967
2,000
Niwezeshe nipepese macho
ONYO: Upigaji punyeto kwa sabuni ya unga ni hatari kwa afya yako.
Screenshot_20181212-163409.jpeg
 
Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
22,967
2,000
Mtihani huu
Ana tuzo 28 kwenye mambo ya kugonoka. Mtoto 1 alianza kugonoka mwanzo mwa miaka ya 2000.

Taaluma yake ni mwanahabari. Katokea familia masikini sana.

Anaishi Texas, 2010 aligombea sikumbuki kwenye kitengo gani ila nadhani ni ugavana. Ni mwanachama wa Republic hapo awali alikuwa Democrat.
Screenshot_20181212-165300.jpeg
Screenshot_20181212-165248.jpeg
Screenshot_20181212-165234.jpeg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom