Jaji Sinde Warioba: Kuna kila viashiria vya kutoweka kwa amani nchini

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
warioba.jpg

Waziri Mkuu wa zamani, Joseph Sinde Warioba amewataka wanasiasa kujenga utamaduni wa kuwa wanakutana pindi wanapoona kuna matukio yanayoashiria uvunjifu wa amani.

Jaji Warioba amesema kuwa waasisi wa Taifa walijenga umoja na misingi ya maendeleo ambayo kuna kila dalili ya kutoweka kulingana hali ya mambo inavyokwenda inabadilika badilka.

Ameyasema hayo hii leo jijini Dar es salaam alipokuwa akifungua mdahalo wa mashauriano juu ya kuhamasisha, kusisitiza, kulinda na kudumisha amani na maridhiano nchini ambayo ndio msingi mkuu wa mshikamano.

Amesema kuwa kuna viashiria vya kutoweka kwa amani na viongozi wa kiserikali na kisiasa wanapaswa kuiga kile kinachofanywa na viongozi wa dini ambao wamekuwa na kawaida ya kukutana mara kwa mara.

“Amani ikitoweka kuirudisha ni shida au kuiendeleza, viongozi hasa hawa wa kisiasa wanapaswa kuwa wepesi kukutana na kuzungumza, tuache malumbano hasa tukiwafuata hawa wanasiasa wanaweza kutufikisha pabaya,”amesema Jaji Warioba

Chanzo: Dar24
 
View attachment 617474

Baba: imagine ukutane na huyu, mtabadilishana mawazo kweli:

Bora aseme maana hawa CHADEMA kutwa kucha uchochezi
 
Anasema tu na kukemea kiduuchu lakini bado yupo nao tu na hao Wavurugaji wa Amani ,maneno matupu tu bila ya Vitendo ni kazi bure...

Nimkumbushe tu Mzee wangu huyu kuwa siku zote Amani huvurugwa na wenye nguvu (Mamlaka) kwa sababu yeyote ile ,masikini atabaki kuwaza namna ya kujipatia chochote kitu..
 
Atuondolee upupu wake huko....

Anataka kutuambia kuwa keshasahau kuwa naye ni miongoni mwa wale wastaafu waliompigia debe huyu tuliye naye sasa!!!!?

Akaanze kumkanya Mwenyekiti wake, manake ndo mwanzilishi wa yote haya.
 
Hizi ndizo HABARI ambazo CHADEMA wanataka kuzisikia...UKICHUNGUZA ZAIDI NI CHADEMA NA VIONGOZI wao ndio wapangaji wakubwa wa MAOVU NCHI HII....
 
Atuondolee upupu wake huko....

Anataka kutuambia kuwa keshasahau kuwa naye ni miongoni mwa wale wastaafu waliompigia debe huyu tuliye naye sasa!!!!?

Akaanze kumkanya Mwenyekiti wake, manake ndo mwanzilishi wa yote haya.
Wakati nwanampigia debe nilishangaa sana sasa amewageuka wote
 
Ameona kibarua cha katiba kimezimwa, alishindwa kufanikisha enzi za jk anamlazimisha Magufuli mambo ambayo hakuyaahidi Magufuli hakuwahi kuahidi katiba na pesa za sadakalawe hazipo
 
Back
Top Bottom