KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Nani atamshtaki?Hivi matamshi ya Jiwe kabla ya Lisu kupigwa risasi na vitendo vyake dhidi yake kwenye matibabu haviwezi kumtia hatiani kweli akistaafu!!!?
Serikali inayoongozwa na CHADEMA?
Nani atamshtaki?Hivi matamshi ya Jiwe kabla ya Lisu kupigwa risasi na vitendo vyake dhidi yake kwenye matibabu haviwezi kumtia hatiani kweli akistaafu!!!?
Mkuu Salary Slip, asante kwa bandiko hili. Naunga mkono hojaRAIS MSTAAFU ANAWEZA KUFUNGULIWA MASHTAKA NA OFISI YA DPP
Haya yameelezwa na Jaji Mkuu Mstaafu, Barnabas Samatta katika Mjadala wa Uwajibikaji uliandaliwa na Taasisi ya Uwajibikaji iitwayo Wajibu katika Chuo cha Sheria Tanzania(Law School of Tanzania) Jijini Dar es Salaam
Jaji Samatta amefafanua kuwa Rais mstaafu ana kinga lakini ina mipaka. Kinga haihusu mambo aliyofanya akiwa Rais bali yale aliyofanya kama Rais
Ametoa mfano kuwa endapo Rais akifanya vitendo vya kifisadi atakuwa amefanya akiwa Rais kwani kama Rais huwezi kuwa fisadi au kushiriki ufisadi.
Chanzo: Ukurasa wa Instagram wa JamiiForums
Mkuu Gulwa kwanza sii kweli kuwa kajaza Wasukuma, bali kwa vile ndio walio wengi, tukifuata haki bin haki, walio wengi lazima tuu watakuwa wengi kwenye kila sehemu.Kumbe ndio maana kajaza wasukuma ili asishitakiwe kwa uovu wake
Mkuu Papushikashi,"Jaji Samatta amefafanua kuwa Rais mstaafu ana kinga lakini ina mipaka. Kinga haihusu mambo aliyofanya akiwa Rais bali yale aliyofanya kama Rais"
Hapa sijapaelewa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe ni shetani mkuu.
Shukrani mkuuMkuu Papushikashi,
Kuna mambo ambayo rais anapaswa kuyafanya kama rais, yaani zile presidential powers, duties and responsibilities, kama kuteua, kusaini sheria, kusaini hati za adhabu ya kunyongwa etc, mfano rais kasaini death warrant, mtu akanyongwa, baadae muuaji halisi akajitokeza, rais anakuwa hana kosa. Hivyo kinga ya rais kutokushitakiwa, inahusu utekelezaji wa majukumu yake tuu ya urais.
Kinga hiyo pia inahusu kuvunja Katiba aliyoapa kuilinda, kutumia fedha za umma bila kuidhinishwa na Bunge na makosa mengine ya kiutendaji.
Lakini rais akiwa Ikulu, anaweza kufanya mambo mengine ya ajabu ajabu mfano akaamua kuiba wake za watu, au kupiga madili ya kifisadi, au kuamuru watu wapigwe risasi, wapotezwe etc, yale sio majukumu ya urais, anashitakika
Hili niliwahi kulizungumza hapa na nimekuwekea hadi kifungu cha katiba
Je, wajua kuwa Mkapa anaweza kushitakiwa? Kinga ya kutoshitakiwa haihusu Rais kufanya biashara Ikulu - JamiiForums
P
Najua msimamo wako unatokana na nini, hivi tukienda vyuoni tutakuta wanafunzi wasukuma ni wengi kuliko wote kila idara? jeshini je nk. Kumbuka jiwe sio msukuma ila anawapendelea kwa sababu ukaribu wa kihistoria. Ukweli ni kama nuru haifichikiMkuu Gulwa kwanza sii kweli kuwa kajaza Wasukuma, bali kwa vile ndio walio wengi, tukifuata haki bin haki, walio wengi lazima tuu watakuwa wengi kwenye kila sehemu.
Tuhuma Za Ukabila: Wasukuma Sii Miongoni Mwa Makabila Yenye Ukabila, Tatizo Ndio Walio Wengi! - JamiiForums
Pili kweli ni muovu
Na Tatu, kwa vile hakuna mstaafu aliyewahi kushitakiwa, then sii kweli amewajaza ili asishitakiwe.
NB. Ikitokea ni kweli wamejaa, then, wamejaa kwa uwingi wao which is their deserving positions.
Hili la kutokushitakiwa unaweza kufanya rejea hapa
Je, wajua kuwa Mkapa anaweza kushitakiwa? Kinga ya kutoshitakiwa haihusu Rais kufanya biashara Ikulu - JamiiForums
P.
Mkuu Gulwa, kiukweli wakoloni wametufanya mbaya, wameleta maendekeo makubwa maeneo yenye mazao ya biashara ya pesa ndefu, na maeneo mengine kutelekezwa.Najua msimamo wako unatokana na nini, hivi tukienda vyuoni tutakuta wanafunzi wasukuma ni wengi kuliko wote kila idara? jeshini je nk. Kumbuka jiwe sio msukuma ila anawapendelea kwa sababu ukaribu wa kihistoria. Ukweli ni kama nuru haifichiki
Nimeikubali sanaaaa michango yako kwenye hii thread MkuuKenya tayari wana Katiba Mpya lakin Matatizo hayajaisha
Kabla ya uhuru Kila kitu walikuwa wanasema ndio sababu tunataka uhuru wakadhan Kila kitu kitakuwa solved kwa kupata uhuru
Tupunguze Kuwa Na 'over expectations'
Mkuu Pascali Wasukuma wanaweza kuwa ni wengi sawa, lakini kwa miaka mingi wamekuwa ni wachunga ng'ombe, hivyo kutokuwa wengi kwenye vyuo vya elimu ya juu. Kwa hiyo ikitokea leo wawe wengi kwenye teuzi Utakuwa ni upendeleo wa dhahiri. Kumbuka Mikoa ya Usukuma ni miongoni mwa Mikoa inayofanya vibaya katika mitihani ya kitaifa kwa miaka mingi plus Mikoa ya PwaniMkuu Papushikashi,
Kuna mambo ambayo rais anapaswa kuyafanya kama rais, yaani zile presidential powers, duties and responsibilities, kama kuteua, kusaini sheria, kusaini hati za adhabu ya kunyongwa etc, mfano rais kasaini death warrant, mtu akanyongwa, baadae muuaji halisi akajitokeza, rais anakuwa hana kosa. Hivyo kinga ya rais kutokushitakiwa, inahusu utekelezaji wa majukumu yake tuu ya urais.
Kinga hiyo pia inahusu kuvunja Katiba aliyoapa kuilinda, kutumia fedha za umma bila kuidhinishwa na Bunge na makosa mengine ya kiutendaji.
Lakini rais akiwa Ikulu, anaweza kufanya mambo mengine ya ajabu ajabu mfano akaamua kuiba wake za watu, au kupiga madili ya kifisadi, au kuamuru watu wapigwe risasi, wapotezwe etc, yale sio majukumu ya urais, anashitakika
Hili niliwahi kulizungumza hapa na nimekuwekea hadi kifungu cha katiba
Je, wajua kuwa Mkapa anaweza kushitakiwa? Kinga ya kutoshitakiwa haihusu Rais kufanya biashara Ikulu - JamiiForums
P
Mkuu Zakaria, kutokufanya vizuri Wasukuma, ni kutokana na ufugaji na kutotulia, lakini kutofanya vizuri mikoa ya Pwani, Singida, Dodoma na mikoa ya Kusini ni kutokana na lishe duni inayosababishwa na umasikini uliotopea, kitu cha ajabu kwa mikoa ya Pwani na Zanzibar, kuna bahari na samaki ndio mboga kuu, na ndio lishe inayoongoza kwa vitamin ya Omega3, responsible kwa brain power.Mkuu Pascali Wasukuma wanaweza kuwa ni wengi sawa, lakini kwa miaka mingi wamekuwa ni wachunga ng'ombe, hivyo kutokuwa wengi kwenye vyuo vya elimu ya juu. Kwa hiyo ikitokea leo wawe wengi kwenye teuzi Utakuwa ni upendeleo wa dhahiri. Kumbuka Mikoa ya Usukuma ni miongoni mwa Mikoa inayofanya vibaya katika mitihani ya kitaifa kwa miaka mingi plus Mikoa ya Pwani
Pili, kuvunja Katiba ni sehemu ya shughuli za urais au nimekuelewa vibaya, maana umesema hawezi kushtakiwa akivunja Katiba!
Haya mambo yanahitaji uelewa wa hali ya juu sana ili kuweza kuelewa utagundua kuwa watu wengi wanachukia jpm ni kwa vile yeye anasema ukweli hataki kukupa matumaini ambayo hayapo lkn binadamu yeye hataki hilo anachotaka ni uhongo uhongo wenye matumaini ambayo wala hawez kufikia.Kenya tayari wana Katiba Mpya lakin Matatizo hayajaisha
Kabla ya uhuru Kila kitu walikuwa wanasema ndio sababu tunataka uhuru wakadhan Kila kitu kitakuwa solved kwa kupata uhuru
Tupunguze Kuwa Na 'over expectations'
Kwa kauli hii sipati picha hali ya Magugumaji huko Chato, he must be wetting his pants!RAIS MSTAAFU ANAWEZA KUFUNGULIWA MASHTAKA NA OFISI YA DPP
Haya yameelezwa na Jaji Mkuu Mstaafu, Barnabas Samatta katika Mjadala wa Uwajibikaji uliandaliwa na Taasisi ya Uwajibikaji iitwayo Wajibu katika Chuo cha Sheria Tanzania(Law School of Tanzania) Jijini Dar es Salaam
Jaji Samatta amefafanua kuwa Rais mstaafu ana kinga lakini ina mipaka. Kinga haihusu mambo aliyofanya akiwa Rais bali yale aliyofanya kama Rais
Ametoa mfano kuwa endapo Rais akifanya vitendo vya kifisadi atakuwa amefanya akiwa Rais kwani kama Rais huwezi kuwa fisadi au kushiriki ufisadi.
Ameyaeleza haya akiwa anasisitiza uhuru wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) kuwa haipaswi kuingiliwa kwa vyovyote vile
Amesema DPP hawajibiki kwa Rais, Waziri Mkuu, Bunge wala Mahakama na si sawa Serikali kuingilia utendaji wake kwani inaweza pelekea kulinda maslahi ya viongozi waovu
Aliongezea kuwa anazungumza hayo kwa kuwa ana uzoefu wa kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka kuanzia 1972 hadi 1976
#JFLeo
Chanzo: Ukurasa wa Instagram wa JamiiForums
Sasa ndo umeandika nini wewe mbuzimaji?Yuko sahihi Kwenye kuzungumza lakin hayatekelezeki Kwenye Uwanja wa kisheria
Uzi unaotenganisha hayo mambo Mawili ni mwembamba sana
Huo Ufisadi ili aweze kufanya unakuwa Kwenye Wajibu wake wa Urais
Mf. Rais anaweza kusema Tufanye Mradi Fulani let say Ujenzi wa Mradi wa Ununuzi wa Jengo Yeye akaishia hapo
Lakin akatoa Maelekezo Kama Rais nini Cha kufanya
Rejea Sakata la Ununuzi wa Jengo la Ubalozi wa Tanzania Nchini Italy wakati wa Ubalozi wa Prof Mahalu
Mzee Benjamin Mkapa alifika Mahakamani akasema Ni Yeye ndio aliamuru ifanyike 'Single source' Kwenye mchakato wa Ununuzi akaulizwa Na Wakili wa Serikal wapi aliandika akajibu Maelekezo ya Rais sio lazima yawe kimaandishi anamaliza ushahdi huku anacheka kwa dharau Mahakamani
Tukumbuke Ufisadi huwa unafanyika kwa umakini Sana Hata asie Rais kumtia hatiani sio jambo dogo
Rais fisadi tusidhan anapiga Simu kwa Governor Na kuelekeza awekewe Fedha Kwenye Account Fulani, ingekuwa hivyo ingekuwa Rahisi Sana kumtia hatiani
Sasa ndo umeandika nini wewe mbuzimaji?
Aliitwa Buxton David Chipeta. Sio Nixon.Mf Hayati Judge Nixon Chipeta