Jaji Salome Kaganda: Siitambui barua iliyotumwa kwa Mbowe, Lissu wakitakiwa kujieleza mbele ya tume

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Hatimaye kamishna mkuu wa tume ya maadili kwa watumishi wa umma Jaji Salome Kaganda ameikana barua iliyosomwa jana na katibu mkuu wa Chadema Dr Vincent Mashinji ambayo inadaiwa kutoka katika tume hiyo na iliyosainiwa na kamishna huyo kuwataka Mbowe na Tundu Lissu kujieleza ndani ya siku 21 kuwa ni kwanini wasichukuliwe hatua kutokana na kukiuka maadili ya utumishi wa umma.

Jana nilifananisha neno "utangamano" lililotumika ndani ya barua ile na neno linalotumiwa sana na kiongozi mmoja mkuu wa nchi huku nikielezea dukuduku langu kuwa huenda barua ile iliandikwa na yeye na siyo Jaji Salome Kaganda kama inavyodaiwa.

Chanzo ni Tanzania Daima la leo jumatano tarehe 10 August 2016

Yetu macho!
 
KHEE... haya, kama ni kweli kuwa kakana, kuna mtu kagushi sahihi ya mwingine... Wameanza kutawanyika..
 
Hatimaye kamishna mkuu wa tume ya maadili kwa watumishi wa umma Jaji Salome Kaganda ameikana barua iliyosomwa jana na katibu mkuu wa Chadema Dr Vincent Mashinji ambayo inadaiwa kutoka katika tume hiyo na iliyosainiwa na kamishna huyo kuwataka Mbowe na Tundu Lissu kujieleza ndani ya siku 21 kuwa ni kwanini wasichukuliwe hatua kutokana na kukiuka maadili ya utumishi wa umma.

Jana nilifananisha neno "utangamano" lililotumika ndani ya barua ile na neno linalotumiwa sana na kiongozi mmoja mkuu wa nchi huku nikielezea dukuduku langu kuwa huenda barua ile iliandikwa na yeye na siyo Jaji Salome Kaganda kama inavyodaiwa.

Yetu macho!
Subiri siku ishirini na moja ndo uongee. Haraka ya nini?
 
Uwezekano ni mkubwa kuwa barua ile inayosemekana ni ya Kaganda ni fake...barua ya 'serikali' haiwezi kuzungumzia mambo ya Abraham Lincoln...na pia barua haiwezi kuandikwa 'muda usiojulikana'...huenda CHADEMA wameingizwa mkenge...
 
Hatimaye kamishna mkuu wa tume ya maadili kwa watumishi wa umma Jaji Salome Kaganda ameikana barua iliyosomwa jana na katibu mkuu wa Chadema Dr Vincent Mashinji ambayo inadaiwa kutoka katika tume hiyo na iliyosainiwa na kamishna huyo kuwataka Mbowe na Tundu Lissu kujieleza ndani ya siku 21 kuwa ni kwanini wasichukuliwe hatua kutokana na kukiuka maadili ya utumishi wa umma.

Jana nilifananisha neno "utangamano" lililotumika ndani ya barua ile na neno linalotumiwa sana na kiongozi mmoja mkuu wa nchi huku nikielezea dukuduku langu kuwa huenda barua ile iliandikwa na yeye na siyo Jaji Salome Kaganda kama inavyodaiwa.

Chanzo ni Tanzania Daima la leo jumatano tarehe 10 August 2016

Yetu macho!
Hata mim ningejibu hivyo. Kitu kimeandikwa siri wewe una andika hadharani. Wewe sizaid ya mjinga. Lissu wamejizalilisha sana
 
Back
Top Bottom