Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,669
- 149,840
Aliekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Agustino Ramadhani amesema utaratibu uliotumiwa na kamati kuu ya CCM(CC) wa kukata majina yao katika uteuzi wa Urais haukuwa wa haki.
Amesema hakupata nafasi ya jina lake kuchekechwa katika uchaguzi huo bali kulaumu ilipita na majina yao yakakatwa, amesema amepanga kwenda kuonana na uongozi wa juu hivi karibuni kutokana na kile alichosema hakubaliani na mambo ndani ya chama hicho tawala.
Chanzo; Mtanzania