TANZIA Jaji Projest Rugazia afariki dunia. Kuzikwa Ijumaa Agosti 9, 2019 Kijiji cha Rwamashonga, Kata ya Mugana wilaya ya Missenyi

Msaada tutani haya maneno yanafanana vipi na kutofautiana vipi
Ni mheshimiwa Judge wa Mahakama Kuu ya Tanzania ndio maana nikaanza na Justice

Jina lake la kwanza ni Projestuce, na kabda hajawa Judge alikua Hakimu pale Kisutu au kwa lugha ya mabeberu ni Magistrate
 
Hapa hautamsikia Tundu Lisu akitoa pole, siajabu hata akamuonea wivu Marehemu!

Pumzika kwa Amani!
 
Watani zangu wahaya mnatisha Hadi msibani kiingereza in fact nawapa pole
Unajua hiki Kiingereza kimelipiwa hela nyingi kule Marian, Feza, and other schools like these, not from Elimu bure maarifa duni schools you boast of. One has to make effective use of this hard-earned money!
 
Unajua hiki Kiingereza kimelipiwa hela nyingi kule Marian, Feza, and other schools like these, not from Elimu bure maarifa duni schools you boast of. One has to make effective use of this hard-earned money!
Ok Mimi nimesoma India ngoja nimlilie mtani wangu kihindi Om Shanti Shanti Shanti
 
Huyu marehemu Projest R.I.P ni mfano mzuri kwa watu kuiga kwani aliweza kujiendeleza kiellimu toka kuwa typist pale idara ya uchumi UDSM mpaka kufikia kuwa Jaji wa High court!
Seems unamuelewa vema. Ulikuwa wapi muda huo? He was living at Ubungo by then with the late Bushaijabwe of Maji Ubungo!
 
India? OK lia kihindi!
Ndio Ni lugha ya kimataifa .Kupata ajira kwa wawekezaji wa kihindi popote duniani rahisi Kupata kazi Kama unajua lugha yao.India watu wanasoma kuanzia nursery hadi Phd kihindi .Wawekezaji wa kihindi na kichina wamesambaa dunia nzima Kupata ajira kwao rahisi Sana Kama unajua lugha zao wao na wawekezaji wafaransa,wahispania ,wareno na warusi.Wewe Kama kiingereza unaona deal endelea kukiongea na vitoto vyako peleka only English medium tu viongee Hadi kwenye daladala Lakini usije piga yowe kuwa ajira hazipo pamoja na vitoto vyako kutiririka kiingereza kuliko malkia
 
Back
Top Bottom