Mkuu umetumia lugha Ya kijanja, hata magazeti yetu yanatakiwa kuandika uchambuzi unaoashiria kumwonea huruma huku wakiweka data zinazotafsirika kama mwiba kwa mkulu ,vinginevyo atazidi kuwapiga marungu. Back to the thread, kichwa kingine cha habari ingekuwa; sura halisi ya jpm yazidi kudhihirika, kuanzia bei elekezi ya sukari, escrow mpya (mutungi scandal), UDA, ...the list goes on