Jaji Mutungi, sakata la UDA na ESCROW, majaribio kwa spidi ya Rais Magufuli

Mkuu umetumia lugha Ya kijanja, hata magazeti yetu yanatakiwa kuandika uchambuzi unaoashiria kumwonea huruma huku wakiweka data zinazotafsirika kama mwiba kwa mkulu ,vinginevyo atazidi kuwapiga marungu. Back to the thread, kichwa kingine cha habari ingekuwa; sura halisi ya jpm yazidi kudhihirika, kuanzia bei elekezi ya sukari, escrow mpya (mutungi scandal), UDA, ...the list goes on
 
Unajua chadema na Cuf sio wapinzani wa kweli wengi wao ni wafanya biashara sasa ukiongelea utendaji wa prezdaa kwanza siasa weka pembeni kwa sasa huu ni muda wa kazi subirini 2020.
 
Hakuna jipya hapo. The Kitwanga issue was just a way of silencing The Police scam. Hao jamaa hawawezi kubadilika. Unataka kuniambia hamjui halfan mrisho ni nani? Dang any a wengine lakini Siyo sisi
 
Wakuu, kadri siku zinavyokwenda ndivyo dhamira ya uchapaji kazi ya Rais wetu kipenzi Dkt. John Pombe Joseph Magufuli inavyoingizwa Majaribuni.

Kwa namna alivyojisimika kwa umma, Rais JPM hamuangalii mtu usoni anapotaka kufanya maamuzi hasa yenye maslahi kwa umma.(Rejea Kitwanga's Sagga).

Tofauti na ilivyozoeleka na inavyotarajiwa kwake, kwa sasa inaonekana wazi Rais ameanza kuingizwa kwenye majaribio ya kushindwa kusimamia misimamo na njia zake anazozitumiaga kuwawajibisha wabadhirifu, nitafafanua

1. KASHFA YA JAJI MUTUNGI
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Fransis Mutungi ndio kiongozi wa kwanza wa serikali inayoongozwa na JPM kufungua mwaka mpya wa 2017 kwa kashfa ya kutakatisha zaidi ya milioni 360 za Chama cha CUF na kuingizwa kwenye akaunti ya wilaya na baadae kwa mtu binafsi.

Tayari katibu mkuu wa CUF ambaye kisheria ndiye msimamizi na muwajibikaji mkuu wa fedha za Chama hicho ametangaza kutoitambua akaunti iliyoingiziwa fedha hizo wala utaratibu na kwamba ofisini kwake Kuna barua ya msajili inayomuelekeza kuzuia Ruzuku ya Chama hicho kutokana na mgogoro unaoendelea.

Tayari pia bodi ya wadhamini ya Chama hicho imetangaza kutoitambua akaunti hiyo na kupingana na kitendo cha msajili wa vyama vya siasa na kumtaka awajibishwe.

Kwa mtazamo wangu, Msajili wa vyama hakupaswa kuendelea kukalia kiti anachokalia mpaka sasa.

Kitendo hicho kinaashiria kwamba msajili anashirikiana na serikali kumsaidia Lipumba kuihujumu CUF.

Serikali makini kama ya JPM haipaswi kuingizwa mkenge katika mambo ya namna hii yanayofanyika kwa uzembe na tamaa za watu binafsi kama kina Mutungi na wenzake.

2. SAKATA LA UDA
Awali ilisemwa chini chini kwamba Rais JPM hajafurahishwa na namna biashara ya UDA ilivyofanyika.

Ilisemwa kwamba Rais amekataa mara kuzindua mradi wa mabasi ya mwendokasi kwa sababu za uasilia wake wa mauziano ya shirika la UDA ambayo kila mwenye akili timamu anafahamu kuwa ni dili.

Haijulikani Rais Amedanganywa nini na Nani kiasi cha kukubali kwenda kuzindua mradi huo, uzinduzi unaoonyesha na kuthibitisha uhalalishaji wa Ufisadi uliofanywa na wanafamilia ya vigogo fulani hapa nchini.

Jiji la DSM sasa wanaambiwa wapange matumizi ya mgao wao wa bilioni 5.8 kama sehemu ya mauzo ya hisa zao 51%.

UDA wanamtia Majaribuni JPM shirika kama hili Thamani tu ya jina lake 'BRAND' la UDA katika imani ya matumizi ya biashara ya Usafiri jijini Dar na Tanzania kwa Ujumla inavuka hiyo bilioni 5.8 bado Mali zake, viwanja, magodauni nakadharika.

Tumshauri Rais asiyakubali majaribu haya, aendeleze msimamo wake UDA haijauzwa kihalali, UDA imeuzwa kiujanja ujanja na Rais anatumika kuhalalisha biashara hii ya ujanja ujanja.

3. SAKATA LA ESCROW NA IPTL

hili sio jipya, limeshasemwa Sana na likaamuliwa na Bunge kwa kuadhimiwa maazimio 8 ya Bunge.
Itoshe tu kusema serikali inapata hasara ya mabilioni ya shilingi kila siku kugharamia uendeshaji wa kampuni hii ya IPTL.
Gharama za 'capacity charges' ambazo serikali kupitia Tanesco inailipa IPTL kila siku ni zaidi ya milioni 400.

Milioni 400 hizo hulipwa hata kama siku hiyo umeme haujazaliswa, ni dili kubwa Sana hili. Milioni 400 kwa siku? .. Bado tunashangaa kama nchi kwanini umeme unapanda bei kila kukicha really? .

Rais JPM huu ni mtego ama majaribu yake mengine. Wala Rais haitajiki kuwatumbua IPTL. anachotakiwa kufanya ni kusimamia utekelezaji tu maazimio ya Bunge.

Rais wetu mpendwa. Mwaka huu wajanja wamekuanzishia kwa majaribu mawili, la JAJI MUTUNGI na la UDA. hili la ESCROW umelilithi.

Kadri siku zinavyozidi kwenda majaribu haya yataongezeka kutoka matatu ya sasa mpaka matano, kumi na kuendelea.

Wako
Msema Kweli
Chuma kikolimoto motoo motoo
 
Lumumba wakija utakoma.Maana kwao hawataki kusikia kwamba Mtukufu sana amezidiwa na wajanja wa Mafisi ndani ya Chama chake cha Majangili.

Umesahau yule mtoto wa mbunge aliyetoka kwa fine ndogo kabisa pamoja na kuhujumu uchumi wa Taifa kisa ati ni mwenzao
ufisadi ni across parties boundery
 
Hiyo signature uliyoitumia yupo jamaa MMU ndani atakuja kukupinga asa hivi subiri
 
Mabwana wale wanateseka yaani wamechoka/dhoofu sana kimwili na kiakili hakika huenda ni ile laana ya Watz. dhidi ya usaliti wao wa mabadiliko.
Bwana mmoja amekuwa kituko hapa Bongo, mwingine Kajificha hataki eti kuonekana anaona aibu na kuficha sura yake mbele ya uso wa dunia ila hatoweza kujificha kwa Mungu.
Na hapa ndipo ninapogundua kuwa kumbe laana ni mbaya kiasi hichi......usiombe ukalaaniwa tena laana ya Majority/Public....
Na Mungu azidishe adhabu juu ya uso wa dunia hii na kuwadhalilisha mchana kweupe pe....time is loading n coming soon....
 
Wakuu, kadri siku zinavyokwenda ndivyo dhamira ya uchapaji kazi ya Rais wetu kipenzi Dkt. John Pombe Joseph Magufuli inavyoingizwa Majaribuni.

Kwa namna alivyojisimika kwa umma, Rais JPM hamuangalii mtu usoni anapotaka kufanya maamuzi hasa yenye maslahi kwa umma.(Rejea Kitwanga's Sagga).

Tofauti na ilivyozoeleka na inavyotarajiwa kwake, kwa sasa inaonekana wazi Rais ameanza kuingizwa kwenye majaribio ya kushindwa kusimamia misimamo na njia zake anazozitumiaga kuwawajibisha wabadhirifu, nitafafanua

1. KASHFA YA JAJI MUTUNGI
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Fransis Mutungi ndio kiongozi wa kwanza wa serikali inayoongozwa na JPM kufungua mwaka mpya wa 2017 kwa kashfa ya kutakatisha zaidi ya milioni 360 za Chama cha CUF na kuingizwa kwenye akaunti ya wilaya na baadae kwa mtu binafsi.

Tayari katibu mkuu wa CUF ambaye kisheria ndiye msimamizi na muwajibikaji mkuu wa fedha za Chama hicho ametangaza kutoitambua akaunti iliyoingiziwa fedha hizo wala utaratibu na kwamba ofisini kwake Kuna barua ya msajili inayomuelekeza kuzuia Ruzuku ya Chama hicho kutokana na mgogoro unaoendelea.

Tayari pia bodi ya wadhamini ya Chama hicho imetangaza kutoitambua akaunti hiyo na kupingana na kitendo cha msajili wa vyama vya siasa na kumtaka awajibishwe.

Kwa mtazamo wangu, Msajili wa vyama hakupaswa kuendelea kukalia kiti anachokalia mpaka sasa.

Kitendo hicho kinaashiria kwamba msajili anashirikiana na serikali kumsaidia Lipumba kuihujumu CUF.

Serikali makini kama ya JPM haipaswi kuingizwa mkenge katika mambo ya namna hii yanayofanyika kwa uzembe na tamaa za watu binafsi kama kina Mutungi na wenzake.

2. SAKATA LA UDA
Awali ilisemwa chini chini kwamba Rais JPM hajafurahishwa na namna biashara ya UDA ilivyofanyika.

Ilisemwa kwamba Rais amekataa mara kuzindua mradi wa mabasi ya mwendokasi kwa sababu za uasilia wake wa mauziano ya shirika la UDA ambayo kila mwenye akili timamu anafahamu kuwa ni dili.

Haijulikani Rais Amedanganywa nini na Nani kiasi cha kukubali kwenda kuzindua mradi huo, uzinduzi unaoonyesha na kuthibitisha uhalalishaji wa Ufisadi uliofanywa na wanafamilia ya vigogo fulani hapa nchini.

Jiji la DSM sasa wanaambiwa wapange matumizi ya mgao wao wa bilioni 5.8 kama sehemu ya mauzo ya hisa zao 51%.

UDA wanamtia Majaribuni JPM shirika kama hili Thamani tu ya jina lake 'BRAND' la UDA katika imani ya matumizi ya biashara ya Usafiri jijini Dar na Tanzania kwa Ujumla inavuka hiyo bilioni 5.8 bado Mali zake, viwanja, magodauni nakadharika.

Tumshauri Rais asiyakubali majaribu haya, aendeleze msimamo wake UDA haijauzwa kihalali, UDA imeuzwa kiujanja ujanja na Rais anatumika kuhalalisha biashara hii ya ujanja ujanja.

3. SAKATA LA ESCROW NA IPTL

hili sio jipya, limeshasemwa Sana na likaamuliwa na Bunge kwa kuadhimiwa maazimio 8 ya Bunge.
Itoshe tu kusema serikali inapata hasara ya mabilioni ya shilingi kila siku kugharamia uendeshaji wa kampuni hii ya IPTL.
Gharama za 'capacity charges' ambazo serikali kupitia Tanesco inailipa IPTL kila siku ni zaidi ya milioni 400.

Milioni 400 hizo hulipwa hata kama siku hiyo umeme haujazaliswa, ni dili kubwa Sana hili. Milioni 400 kwa siku? .. Bado tunashangaa kama nchi kwanini umeme unapanda bei kila kukicha really? .

Rais JPM huu ni mtego ama majaribu yake mengine. Wala Rais haitajiki kuwatumbua IPTL. anachotakiwa kufanya ni kusimamia utekelezaji tu maazimio ya Bunge.

Rais wetu mpendwa. Mwaka huu wajanja wamekuanzishia kwa majaribu mawili, la JAJI MUTUNGI na la UDA. hili la ESCROW umelilithi.

Kadri siku zinavyozidi kwenda majaribu haya yataongezeka kutoka matatu ya sasa mpaka matano, kumi na kuendelea.

Wako
Msema Kweli
Kwa maoni yangu jina la mwenyekiti wa chama umelitumia vibaya, labda umetumwa na huyo mheshimiwa usiyetaka kumtaja
 
Back
Top Bottom