Jaji(Mst.) Salome Kaganda ANAFAA SANA KUWA JAJI MKUU KAMA INARUHUSU

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,613
12,267
Jamani huyu mama ameongea ukweli ambao sijawahi kuusikia toka kipindi cha Mwinyi kiongozi akiongea kama katiba inaruhusu jamani huyu apewe ujaji mkuu uwenda sheria zitakaa sawa yupo makini na anaonyesha uzalendo ndio sala yake.
Shime MAMA
 
Back
Top Bottom