Jaji Mkuu Tanzania awania nafasi ya Ocampo

Snitch,

..umechanganya mijadala miwili tofauti.

..definetely CJ Chande anafaa kwenye hiyo nafasi ya ICC ambako amekuwa shotlisted.

..sasa kuna mjadala ulizuka wakati wa uteuzi wa Justice Ramadhani kuwa CJ.

..kuna waliokuwa wanahoji kwanini hakuteuliwa Othman Chande instead of Justice Ramadhani.

..sisi wengine tulijibu kwamba kwa wakati ule Chande alikuwa ni Prosecutor kwa muda mrefu, na alikuwa ame-serve kwa muda mfupi kama Jaji wa Mahakama Kuu .

..tuliona Justice Ramadhani was more qualified kwa nafasi ya CJ kwasababu tayari alikuwa ame-serve kwa muda mrefu in the Appeals courts.

..ingekuwa kitu cha ajabu sana kwa Raisi kuwaruka majaji wa mahakama ya rufaa na kwenda kumuibua Chande aliyekuwa Jaji wa mahakama kuu.

..baada ya Jaji Chande kupewa promotion toka mahakama kuu, kwenda mahakama ya rufaa, ilikuwa wazi kwamba he was on his way kuteuliwa kuwa Chief Justice.
 
..Jaji Mkuu ni mtoto wa Bw.Chande Othman aliyepata kuwa DC baada ya kupatikana uhuru wa Tanganyika, na baadaye director wa establishment wakati wa zoezi la Africanization.
 
Back
Top Bottom