Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Huyu jamaa kumbe ni msomi sana..pongezi kwa Jaji Mkuu
..imekuwa kawaida hapa nchini kwamba Chief Justice hu-serve mpaka anapostaafu.
..pia sina kumbukumbu ya Raisi kumuondoa Chief Justice kabla hajafikia umri wa kustaafu.
..Having said that, I feel like this CJ is not settled and focused on his job.
..Did the President interview him CJ Chande before he appointed him to the post?
..is Chief Justice Chande not interested in, or satisfied with, his job?
..WHY IS CHIEF JUSTICE CHANDE TRYING TO LEAVE HIS JOB?!!!
You are talking sense mate, cha kujiuliza ni kwa nini huyu jamaa is aspiring for that post, i know its not the money. Looks like reputation aliyojijengea huko nyuma halafu anaserve in a very corrupt CCM administration roho yake inamhukumu sana.
To change anything ndani ya administration ya CCM ni ngumu, kwa sasa anajiona kama yupo kwenye shimo la maji ya chooni, he wants to leave.
Most of Tanzanians do not have a culture of appreciating what their fellow countrymen perform. Mr. Chande is an eminent lawyer and has been featured in different positions at an international level yet folks keep on misprizing his reputation. We should change our attitude and start to be proud of our own excellent figures.
Kwa ujumla Marekani inacheza mchezo mchafu sana kuhusu ICC huku dunia inatazama tu bila kufanya lolote. Marekani iko tayari kushabikia kuona watu wa nchi nyingine kukamatwa na kufikishwa mbele ya ICC na siyo Wamarekani.
By the way, mnafahamu kwamba tangu ICC kuanzishwa na kuanza kazi rasmi mwaka 2002, watuhumiwa wote 27 waliotolewa hati ya kukamatwa ili washitakiwe ni wa kutoka Bara la Afrika tu?
Nataka kuweka Kumbukumbu sawa hapa! Mwendesha Mashitaka wa ICC huteuliwa na tume maalum hivyo Chande hajaomba hiyo kazi amekua shortlisted na Wenzake 6 baada Tume/kamati itapitia majina 6 na kumteua Mwendesha Mashitaka! Naona Watanzania wenzangu wana JF wanaona kama Chande kaomba kazi hapana!
Ikiwa TZ in watu mahiri kama bwana othman ambaye amebobea ktk sheria, sasa kwanini mikataba ya serikali inakuwa hovyo?? just to mention few of them, Richmond, buzwagi, Dowans and etc !!!!!!!!
..imekuwa kawaida hapa nchini kwamba Chief Justice hu-serve mpaka anapostaafu.
..pia sina kumbukumbu ya Raisi kumuondoa Chief Justice kabla hajafikia umri wa kustaafu.
..Having said that, I feel like this CJ is not settled and focused on his job.
..Did the President interview him CJ Chande before he appointed him to the post?
..is Chief Justice Chande not interested in, or satisfied with, his job?
..WHY IS CHIEF JUSTICE CHANDE TRYING TO LEAVE HIS JOB?!!!
John Marwa said:Nataka kuweka Kumbukumbu sawa hapa! Mwendesha Mashitaka wa ICC huteuliwa na tume maalum hivyo Chande hajaomba hiyo kazi amekua shortlisted na Wenzake 6 baada Tume/kamati itapitia majina 6 na kumteua Mwendesha Mashitaka! Naona Watanzania wenzangu wana JF wanaona kama Chande kaomba kazi hapana!
Mh Chande hana hata miezi sita toka awe Jaji Mkuu wa Tanzania huwezi kumuasesi kwa nafasi yake ya ujaji Mkuu. Hata ujaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa Tanzania hajakaa sana. Muda wake mwingi amekuwa katika taasisi za kisheria za kimataifa. Ni huko ndiko walipomuuona wakamgombanisha na wenzie wanne katika nafasi hiyo. Majai na wanasheria mahili wako wengi Afrika mpaka wakamuona yeye tukubali anacho cha ziada. Najua baadhi yetu hatumpendi labda bila hata sababu za maana. Ni bahati mbaya tu tumemchukia labda kwa sababu ana rangi kama muasia japo ni mbondei wa Tanga. Wenzetu wanaotizama mambo professionally na fairly hawatizami rangi, kabila, dini wala nchi ndio maana wamemuibua mtu kutoka Tanga
Unstoppable said:Sidhani kama jaji Chande anachukiwa. Nionavyo mimi uteuzi wake ulikuwa na maswali mengi ambayo hayakuwa na majibu (maswali yaliyohitaji "professional answers" not "political answers)". However personally mates wake wanampenda ni mpole hana makuu.
Unstoppable,
..kuna waliokuwa wanadai kwamba Chande anafaa kuliko CJ Augustino Ramadhani.
..mimi ni kati ya wale niliopingana nao. hoja yangu ilikuwa ni kwamba CJ Chande wakati huo alikuwa hata siyo Jaji wa Mahakama ya Rufaa, pia alikuwa hana muda mrefu kama Jaji wa Mahakama Kuu.
..pia ukiangalia wasifu wa CJ Chande utaona kwamba ana uzoefu zaidi kama mwendesha mashtaka, akiwa amefanya kazi ktk mahakama mbalimbali za kimataifa.
..alipoteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa, then ilionekana wazi kwamba he was in line to be considered kwa nafasi ya Chief Justice.
Sidhani kama jaji Chande anachukiwa. Nionavyo mimi uteuzi wake ulikuwa na maswali mengi ambayo hayakuwa na majibu (maswali yaliyohitaji "professional answers" not "political answers)". Nafikiri Wa-tanzania wana haki yakuuliza maswali magumu when necessary. Ile dhana yakukubali kila kitu bila kuhoji imepitwa na wakati. Society imeanza kuelewa, na inakuwa more involved; tusichukulie negative pale watu wanapo-question things e.g. one's abilities. Mtu aki-point weakness zao sio kwamba hakupendi. Infact naona mates wa Judge Chande wanampenda "as a person" ni mpole hana makuu.