Jaji Mkuu Tanzania awania nafasi ya Ocampo

..imekuwa kawaida hapa nchini kwamba Chief Justice hu-serve mpaka anapostaafu.

..pia sina kumbukumbu ya Raisi kumuondoa Chief Justice kabla hajafikia umri wa kustaafu.

..Having said that, I feel like this CJ is not settled and focused on his job.

..Did the President interview him CJ Chande before he appointed him to the post?

..is Chief Justice Chande not interested in, or satisfied with, his job?

..WHY IS CHIEF JUSTICE CHANDE TRYING TO LEAVE HIS JOB?!!!
 
Halafu watu walisema JK eti amempendelea kumteua, kubalini tu Tanzania vichwa tunavyo ili hatuvithamini kwa wivu wetu wa kike ! watu wenye akili zao wamemuona mpaka anafaa kumrithi Ocampo !

Hapana, usidanganye watu mkuu. Hivi wewe unafanya naye kazi? Mtu hata kazi zake hawezi kufanya kweli hizi za Ocampo ataziweza?? Sijui kama ni matatizo yake ya afya ndio yanamfanya ashindwe kumudu kazi zake za ujaji mkuu; lakini kwakweli ni mzigo kwenye mahakama, inawezekana kuwa bado anazi-study mahakama zetu zinavyo-operate au hakuzoea kupewa pressure na wanasiasa na ana-find it difficult kuoperate kwenye mazingira hayo.Kumbuka yeye hana uzoefu na mahakama za Tanzania. Kazi zake nyingi anasaidiwa na wenzie sisi watu wa ndani tunalijua hilo. I wish him the best kwenye mipango yake mipya. Labda huko kwa Ocampo kazi zinaweza kuwa tofauti na hizi alizokuwa anafanya hapa, if not then most likely hata chaguliwa; unless there is something terrible about other candidates.
 
..imekuwa kawaida hapa nchini kwamba Chief Justice hu-serve mpaka anapostaafu.

..pia sina kumbukumbu ya Raisi kumuondoa Chief Justice kabla hajafikia umri wa kustaafu.

..Having said that, I feel like this CJ is not settled and focused on his job.

..Did the President interview him CJ Chande before he appointed him to the post?

..is Chief Justice Chande not interested in, or satisfied with, his job?

..WHY IS CHIEF JUSTICE CHANDE TRYING TO LEAVE HIS JOB?!!!

I like your analysis hasa hapo penye red. Justice Chande hakuwahi kupractice kwa muda mrefu ndani ya mahakama zetu. Infact I have yet to find a controversial/difficult case ambayo alii-handle akiwa jaji Tanzania. That being said; ni ngumu kuelewa walimpima vipi wakampa cheo hicho. Inawezekana alikuwa very good kwenye mahamaka za nje ambako ndio muda mwingi amefanya kazi. Lakini ni vigumu kutumia vigezo hivyo kuamini kuwa atafanya vizuri kwenye mahakama zetu. I suspect amegundua kuwa majukumu sio yale aliyoyatarajia; na sasa kutokana na mwamko wa watu wa Tanzania hasa kwenye siasa; he has to work under pressure ambayo sidhani kama hivi vitu alikumbana navyo kwenye mahakama za nje alikofanya kazi. Ninaelewa kuna kesi fulani hivi recently iliyohusisha (JK, Membe, na (Bhakresa kama sijakosea) ilimsumbua sana kutokana na pressure alizopata kutoka kwa watu walioingilia uhuru wa mahakama waziwazi. Inawezekana there is more including afya yake nayo si nzuri. Lakini ninachojua he is struggling at that post.
 
Most of Tanzanians do not have a culture of appreciating what their fellow countrymen perform. Mr. Chande is an eminent lawyer and has been featured in different positions at an international level yet folks keep on misprizing his reputation. We should change our attitude and start to be proud of our own excellent figures.
 
Check your syntax big fella.
 
Ni kweli jamaa ana CV kubwa sana,lakini amefanya lipi la kukumbukwa kwa watanzania baada ya kuwea CJ na kabla? Kuna anayejua msimamo wake kuhusiana na suala la mgombea binafsi? Lazima watz tujifunze kuwapima watu kwa matendo yao na sio CV zao tu. Kumbe hatujajifunza kutokana na uchaguzi mkuu 2005!!?

Mkuu inawezekana mtizamo wako ukawa sahihi. Lakini pia tukumbuke mazingira aliyofanya kazi Ocampo ni tofauti sana na haya ya kwetu. Kutokana na hilo Chande anaweza akafanya vizuri sana huko ICC mpaka tukashangaa. I believe he is capable of something na ikizingatiwa kwamba ana-uzoefu wakimataifa may be Ocampo's place ndio the best position for him who knows. Ila na afya yake nayo mgogoro sijui lakini. On a different note, simlaumu sana kwa performance yake hapa Tz kwasababu nyingi tu. Mojawapo ikiwa"rushwa". Nakumbuka kuna jaji mmoja alisema ni vigumu sana kwa Chande kupiga vita rushwa ndani ya mahakama kwani yeye mwenyewe anaelewa wazi "bosi"wake anakula rushwa. Kuna kesi ambazo he was aware rushwa zilitumika; lakini rushwa hizo zilitoka kwa viongozi wakuu serikalini; yeye angesema nini?? The guy is in a difficult position I should say.
 
naona kashindwa kufanya kazi katika mazingira yetu , yenye outside influence, lack of vitendea kazi, mahakimu wake hawalipwi vizuri hivyo inabidi waongeze kipato kwa njia mbadala, yaani mambo yapo yapo tu, na at the end of the day wazee wakazi(siasa) wanataka output. na apigane na rushwa? yeye sawa wamemuwezesha, lakini na mahakama nazo ziwezeshwe na wasaidizi wake.
 
kwanini wote watake kukimbia nchi lakini? Chande mkubwa prof othman chande wa chemistry pale mlimani amekimbia nchi na kuenda Canada sasa na huyu mdogo mtu anataka kukimbia nchi ?
 
Wale waliokuwa wanasema alipemdelewa kupewa kile cheo ,hawamfahamu huyo Mohamed Chande. Kwa kuwasaidia tu, kulikuwa na contenders wawili wa nafasi ya jaji mkuu nao walikuwa Mohamed chande na Stephen Bwana. Hawa wote wawili walikuwa classmates pale UDSM faculty of law na wote walipata shahada safi za sheria wakiwa darasa moja na Mutula Kilonzo ambae sasa ni waziri wa katiba na sheria huko Kenya. Mohamed amefanya kazi na mashirika mengi ya nchi za nje hasa U.N. system hadi huko East Timor. Wale waliosoma nae wanaufahamu umahili wake kuwa he is an all rounder!!
 
; JAMAA
KACHAGULIWA JUZ NA JK,
AMEGUNDUA UONGOZI WA
MAGAMBA NI
MCHAFUUUUUUUUHHH, LOH

amechukua uamuzi gani baada ya kuona hili.
Namuombea ashinde, hata akiwa msaidizi wa mwendesha mashtaka,bado atakuwa juu.
 
Nitawaonya Watanzania kuwa tusishangirie kwa Mtanznaia kupata nafasi ya Ocompo je Jaji huyu atawahukumue kina Uhuru Kenyata vipi na tuko nao kwenye Umoja wa Afrika Mashariki , Pia niwaulize vipi twue proud na ICC inayotumika na nchi za mgharibi kwuaondoa au kuwapunish wanaoharibu maslahi yao kwa kutumia taasisi hii Pili niwaulize why Americans are not stupid to hang tehm self kwa nini sisi Waafrika tunashangiria Ocompo yupo wakati jana Hilary Clinton aligusia ICC kufana ykazi ya kwuahukumu Madikteta lakini marekani yenyewe imekataa kuwa Signatory ya ICC ili na wao wakifanya crime wasifikishwe huku Waafrika tuamke na ukoloni mambo leo ukoloni unarudi duaniani wka mlango wa Nyuma , Huwashangaa Wakenya wakishangilia Kauli zA Ocompo lakini Waafrika wamshindwa kuunda tasisis ya kimahakama kuhukumiana inakuaje wasubiri Wazungu wawaundie taasisis ya kuwahukumu wao ?
 
Nitawaonya Watanzania kuwa tusishangirie kwa Mtanznaia kupata nafasi ya Ocompo je Jaji huyu atawahukumue kina Uhuru Kenyata vipi na tuko nao kwenye Umoja wa Afrika Mashariki ,

Judge EKatarani has yet to rule on confirmation of charges hearings. In event ICC does confirm the charges against the Ocampo Six and Chande Othman sails through as the Prosecuter then EA is headed for trying times ahead.
 
Halafu watu walisema JK eti amempendelea kumteua, kubalini tu Tanzania vichwa tunavyo ili hatuvithamini kwa wivu wetu wa kike ! watu wenye akili zao wamemuona mpaka anafaa kumrithi Ocampo !

Tatizo letu wengi ni kufikiri kila anayekuwapromoted na WEST ni kichwa au ni mtu safi au has performed great service to his/her nation!
watu wana agenda zao za siri pengine!

Forgive me if I am wrong!!
 
We (they) did some times back but as Tanzanians are becoming more experienced to these professionals, the sense of disappointment has now emerged with the beliefs that almost all ruling party's (CCM) 'high profile' appointees have delivered nothing to their country.
Some of them recall on Dr. Balali, prof... including many many others that I guess you know.
I also assume so because the world is watching us!
Most of Tanzanians do not have a culture of appreciating what their fellow countrymen perform. Mr. Chande is an eminent lawyer and has been featured in different positions at an international level yet folks keep on misprizing his reputation. We should change our attitude and start to be proud of our own excellent figures.
 
tatizo sio uwezo ni utekelezaji mfano gavana bank mkuu tz sifa kibao lakini shilling inashuka thamani,yule mama mtz aliekuwa spika wa bunge la africa ilkuwaje akaondolewa
 
Nataka kuweka Kumbukumbu sawa hapa! Mwendesha Mashitaka wa ICC huteuliwa na tume maalum hivyo Chande hajaomba hiyo kazi amekua shortlisted na Wenzake 6 baada Tume/kamati itapitia majina 6 na kumteua Mwendesha Mashitaka! Naona Watanzania wenzangu wana JF wanaona kama Chande kaomba kazi hapana!
 
; JAMAA
KACHAGULIWA JUZ NA JK,
AMEGUNDUA UONGOZI WA
MAGAMBA NI
MCHAFUUUUUUUUHHH, LOH

amechukua uamuzi gani baada ya kuona hili.
Namuombea ashinde, hata akiwa msaidizi wa mwendesha mashtaka,bado atakuwa juu.

We pimbi siasa za bongo zimekuharibu kabisa now you think locally! Mwendesha Mashitaka wa ICC huteuliwa na tume maalum hakuna anaeomba kazi ICC! Hivyo Chande ameteuliwa na wenzake 6 halafu tume hiyo itapitia na Kumteua anae faa! Haku-apply hiyo kazi kama unavyo onesha kutoelewa!
 
Most of Tanzanians do not have a culture of appreciating what their fellow countrymen perform. Mr. Chande is an eminent lawyer and has been featured in different positions at an international level yet folks keep on misprizing his reputation. We should change our attitude and start to be proud of our own excellent figures.

The trouble with Tanzanian Elites/Wasomi is not their credentials nor is it their international reputation. The trouble with our elites is that when it comes to domestic matters some of grave national importance,human rights issues governance for instance they would go through the motions at best and be mum at worst snuggled warmly beneath the regime wings, Unlike their counterparts across the border always vocal, leading the people to demand for change. The payoff was worth the effort a truly remarkable constititution.
 
CJ Chande alipoteuliwa watu walisema mara ohhh JK mdini, mara JK anateua vyeo kindugu haya ICC nako kuna udini au upendeleo? Tanzania bwana matatizo tu. Nenda huko mzee Chande achana na CJ ya Tanzania shida tupu na kero!!!

Naona kama unajichanganya mwenyewe hapa
 
Halafu watu walisema JK eti amempendelea kumteua, kubalini tu Tanzania vichwa tunavyo ili hatuvithamini kwa wivu wetu wa kike ! watu wenye akili zao wamemuona mpaka anafaa kumrithi Ocampo !

Ikiwa TZ in watu mahiri kama bwana othman ambaye amebobea ktk sheria, sasa kwanini mikataba ya serikali inakuwa hovyo?? just to mention few of them, Richmond, buzwagi, Dowans and etc !!!!!!!!
 
Back
Top Bottom