Jaji Mkuu Tanzania awania nafasi ya Ocampo

kazi yake ya kwamza iwe kutoa hati ya kukamatwa Georgw W Bush ili afikishwe mahakama ya ICC kujibu mashitaka ya uhalifu wa kivita na mauaji huko Iraq. Ocampo alikuwa anaelekeza ngivu zake kwa Waafrika tu.
 
Halafu watu walisema JK eti amempendelea kumteua, kubalini tu Tanzania vichwa tunavyo ili hatuvithamini kwa wivu wetu wa kike ! watu wenye akili zao wamemuona mpaka anafaa kumrithi Ocampo !

Nabii hakubaliki kwao
 
kazi yake ya kwamza iwe kutoa hati ya kukamatwa Georgw W Bush ili afikishwe mahakama ya ICC kujibu mashitaka ya uhalifu wa kivita na mauaji huko Iraq. Ocampo alikuwa anaelekeza ngivu zake kwa Waafrika tu.
Marekani hawahusiki na ICC na ni marufuku kwa raia wake kushitakiwa ICC.
 
Just try to Dig, This man has a great CV.

Pengine niko mwenyewe kwenye hili: Akipata hii post Tanzania wahesabu maumivu. Kama amekaa kimya polisi inauwa akienda ICC itakuwaje? Viongozi wa Bongo watafanya madudu sana lakini wataishia kupewa sifa na tuzo kama anavyofanya Dr Asha Migiro kule UN.
 
Marekani hawahusiki na ICC na ni marufuku kwa raia wake kushitakiwa ICC.

Ingawa ni kweli Marekani imetangaza hivyo, na pia haikusaini mktaba uliounda mahakama hiyo ya ICC, lakini inahusika sana katika uendeshaji wake. Pamoja na njia nyingine, Baraza la Usalama la UN nalo lina uwezo wa kutoa mapendekezo kwa ICC ili fulani atolewe hati ya kukamatwa na baada ya uchunguzi, ICC inaweza kumuamuru Prosecutor kutoa hati ya kukamatwa mtu huyo. Hii njia imefanyika kuhusu hati ya kukamatwa rais wa Sudan, Hassan Albashir.

Sasa basi Marekani ni Mjumbe wa kudumu wa wa baraza la Usalama la UN na nchi hiyo in ushawishi mkubwa sana katika maamuzi yake ya Baraza hilo.

Kwa ujumla Marekani inacheza mchezo mchafu sana kuhusu ICC huku dunia inatazama tu bila kufanya lolote. Marekani iko tayari kushabikia kuona watu wa nchi nyingine kukamatwa na kufikishwa mbele ya ICC na siyo Wamarekani.

By the way, mnafahamu kwamba tangu ICC kuanzishwa na kuanza kazi rasmi mwaka 2002, watuhumiwa wote 27 waliotolewa hati ya kukamatwa ili washitakiwe ni wa kutoka Bara la Afrika tu?
 
Nasikia majaji wetu wana bei.
Wengine ni milioni 10, 20 na hata 50. wewe ukiwa wa mauaji wawekee kitita, mara moja kesi itasikilizwa hata usiku wa manane kama ileee ya waalimu.

Leo hii huyu wa kwetu akutane na U. Kenyatta, atazikataa kweli? achana na watu kama hawa. Hebu tuwekeeni mwenye hasira na madikteta wetu ili awapunguze.
 
Tanzanian CJ in line to succeed Ocampo

By PETER LEFTIE
Posted Tuesday, October 25 2011 at 18:20

Tanzania’s Chief Justice Mohamed Chande Othman may be the man to prosecute the six Kenyans accused of bearing the greatest responsibility for the post election violence.
He is among four people seeking to succeed outgoing ICC Prosecutor Luis Moreno Ocampo.
Mr Chande is among the four candidates shortlisted by the ICC Search Committee in line to succeed Mr Moreno-Ocampo mid next year.
The new prosecutor will be elected by the Assembly of State Parties to the Rome Statute at its next meeting to be held starting December 12 but will officially assume office in July 2012.
Also in the race to succeed to Mr Ocampo is his current deputy, Gambian Fatou Bensouda, Mr Andrew T Cayley (UK) and Canadian Robert Petit.
The Ocampo Six are deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta, Eldoret North MP William Ruto, Public Service head Francis Muthaura, Tinderet MP Henry Kosgey, former Police commissioner Hussein Ali and radio presenter Joshua Sang.
The pre-trial chamber of the ICC is set to rule on whether to confirm or drop the charges facing them between December and January.
Mr Cayley is the International Co-Prosecutor of the Extraordinary Chambers in the Courts of Cambodia (ECCC) while Mr Petit is currently the Counsel to the Crimes Against Humanity and War Crimes Sections of the Department of Justice in his home country.
The four were picked from a pool of 52 candidates who applied for the job. From the 52 names on the candidates list, the Search Committee interviewed only eight candidates before settling on the four.
“In presenting this shortlist, the Search Committee is confident that each of the candidates identified below not only meets the formal eligibility criteria of the Rome Statute but also has the professional experience and expertise, and the necessary personal qualities, to perform the role of the next ICC Prosecutor to the highest standard,” said the President of the Assembly of State Parties, Christian Wenaweser who acted as the coordinator of the search committee..

Tanzanian CJ in line to succeed Ocampo*- Politics*|nation.co.ke

MY TAKE
How will the case affect the relations between Kenya and Tanzania in EAC knowing that the Ocampo 6 are heavy weights in Kenya's Political inner cycle and being aware that Omary Chande will be coming straight from his CJ position (under JK directives) which he will have to quit if elected the prosecutor of PEV suspects!


Chande ana sifa zote za kuwa CP wa ICC, na uzoefu wa kufanya kazi UN kwa miaka mingi. Na ninadhani uzoefu wake wa Timor na ICTR pia vimechangia yeye kuwa short-listed kwa hiyo nafasi.

Uwezekano wa yeye kuipata hiyo nafasi unapungua kidogo kutokana na kuwepo kwenye short-list another African Bensouda, ambaye sasa hivi yeye yuko tayari hapo ICC.

Kama Chande atapewa, basi itabidi Bensouda akae pembeni kwani haitakuwa rahisi kuwa na CP na Deputy wake wote kutoka bara moja, na hapo hapo deputy ni 'unqualified' applicant wa nafasi hiyo. Nadhani hapa watacheza politics. Aidha watampa Bensouda na kudai Afrika imewakilishwa, au watampa Cayley au Petit, ili isionekane Africa imeshika nafasi zote za juu.

Huo ni mtazamo wangu.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
hivi alishawahi kuwa prosecutor huko nyuma?


umeuliza swali zuri sana kwani ocampo kachemsha sana na maisha yake yote amekuwa aki prosecute je huyu mbongo ataweza mikiki na demands za icc je ataweza presure au ndiyo hawa kesi moja mwaka mmoja
 
Chande ana sifa zote za kuwa CP wa ICC, na uzoefu wa kufanya kazi UN kwa miaka mingi. Na ninadhani uzoefu wake wa Timor na ICTR pia vimechangia yeye kuwa short-listed kwa hiyo nafasi.

Uwezekano wa yeye kuipata hiyo nafasi unapungua kidogo kutokana na kuwepo kwenye short-list another African Bensouda, ambaye sasa hivi yeye yuko tayari hapo ICC.

Kama Chande atapewa, basi itabidi Bensouda akae pembeni kwani haitakuwa rahisi kuwa na CP na Deputy wake wote kutoka bara moja, na hapo hapo deputy ni 'unqualified' applicant wa nafasi hiyo. Nadhani hapa watacheza politics. Aidha watampa Bensouda na kudai Afrika imewakilishwa, au watampa Cayley au Petit, ili isionekane Africa imeshika nafasi zote za juu.

Huo ni mtazamo wangu.
Great thinking. Brilliant.
 
Kuna kesi za nyingi za Kiafrika, i.e., DRC (Bemba etc.), Kenya (akina Kenyatta), Ivory Coast (Gbagbo, etc.), Libya (Saif al Islam, etc.), Liberia (Taylor & co.), Rwanda. Wataumpa Nyani kesi za Ngedere? (pamoja na kwamba yeye na huyo Mgambia wana credentials zote).
 
From the list of 4 Chade hana chake .Hatapata na hakuna ndoto ya kupata niamini utaona .Hawezi na hata umri wake pekee utamuondoa na kama Chande makini angalikemea ya Tanzania hapa kwanza kabla ya nje .Katiba ya nchi nk kasemaje ? Hakuna kitu .
 
Watanzania bwana mbona hatuna uzalendo? the guy desrves someni CV yake mtajua amefanya kazi gani na nchi gani kabla hajawa jaji mkuu.
He is one of the best judges in the country someni baadhi ya decisions zake ndio mtamwelewa.Kuwa chief prosecutor wa ICC ni kazi ngumu
kwake yeye anaimudu na ana uzoefu wa sheria za kimataifa nk.
.acheni hizo tuwe wazalendo kama wakenya
 
cj chande nakutakia mafanikio.

hata hivyo inabidi serikali nayo ifanye jitihada za makusudi ili kumsaidia cj chande kupata huo wadhifa kwani kwa nafasi kama hizo cv pekee
haitoshi. bila debe la nguvu na mkakati makini mheshimiwa chande anaweza ikosa hiyo nafasi.

sifahamu mfumo wa kura unakuwaje huko icc, ila nimeona mmoja wa wajumbe wa hiyo "search committee" ni raia wa africa kusini
(akiwakilisha africa group), inabidi serikali ianzie kupiga ndogo ndogo hapo. aidha kwa
vile mgombea mwengine wa kiafrica ni raia wa gambia basi kura za nchi za africa magharibi
zinaweza kupatikana bila mkwara mkubwa. kimbembe ni kwenye kura za wadhungu.

huyo jamaa wa canada anaweza kujaribu kutumia turufu ya kifaransa (kwa jina la petit nahisi jamaa katoka quebec) ili aungwe mkono na nchi za kiafrika zinazosema kifaransa. canada na ufaransa wakiungana basi wanaweza nyakua baadhi ya kura za nchi za africa magharibi.

kura za asia itabidi kunyang'anyana na jamaa wa uk. halafu kuna kura za latin amerika ambazo nadhani mcanada anaweza zivuta kwa urahisi (sababu ya ukaribu). na zile za visiwa vya caribbeaan ambazo jamaa wa uk nadhani watazikamia.
 
Back
Top Bottom