Jaji Mkuu: Serikali inaingilia uhuru wa Mahakama

Kwani Celina Kombani ndie alitunga hii sheria? Nilidhani bunge ndio linatunga sheria.

Na Chande nae mnafiki, kwa nini hakuongea wakati mjadala wa kitaifa unaendelea kabla ya sheria kutungwa na bunge?

celina ndo aliyepeleka mswada wa mabadiliko ya sheria hiyo. Akishirikiana na ag na vibajaji vya ccm wakawa wanamwimbia taarabu lisu. Ndo maana pinda aliungana na lisu hata alipouliuzwa mara tatu. Kumbuka chande ni mtumishi wa serikali,asingeweza kupinga wakati ule,yawezekana alitoa maoni yakapingwa ndo maana wakapelekewa hoja kina lisu.
 
Bado watu wanaangalia CCM kama sehemu ya suluhisho la matatizo yao!
...Hamna chama chochote, na hata katika nchi nyingi, ambacho kimekuwa suluhisho la matatizo. Uongozi makini na wenye uwezo kiutendaji, ndio umekuwa suluhisho. Narudia, sio chama, bali uongozi ndio suluhisho.

...Na hili ndio tatizo letu kubwa. Tunashabikia vyama na kuchagua watu wabovu, kisa, ni chama chako.
 
kombana ana......,.t...w...a!

Super ****!

Wewe mama yako alifanywaje hadi ukazaliwa wewe?
Sasa naelewa wanaposema JF imeingiliwa; ungetoa point ya maana kuliko kutaja the obvious mwanamke unategemea afanyeje?
 
hatimae hameshidwa kuvulimia ilo janga ameliweka hadharani maana ilikuwa nitatizo sasa ee...!!
 
Back
Top Bottom