GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,011
Jaji Mkuu staafu amesema kuwa ameacha mahakama zikiwa zinakwenda mwendo wa kasi wakati sio kweli, moja ya kesi ambazo zinapigwa danadana ni kesi ya viongozi wa dini kutoka Zanzibar, uamsho.
Viongozi hawa wapo Segerea miaka mitatu bila ya upande wa mashtaka wa serikali kutoa ushahidi wowote eti haujakamilika. Pia viongozi kutopata dhamana hata kudhalilishwa kinyume na ubinadamu viongozi wetu.
Jaji nenda tu, tutakukumbuka kwa uozo wako wa mahakama za Tanzania.