Jaji Mkuu, "Justice delayed is justice denied".

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
91,061
2,000
Jaji Mkuu wa ovyo haijapata kutokea katika historia ya Tanzania..

Majaji siku zote ni watu wa kuheshimiwa sana lakini sio huyu..

Napata mashaka sana wakati alivyokaimu kwa muda mrefu, alikuwa anapewa TERMS ili akikubaliana nazo ndio awe confirmed..

Ndio haya madudu sasa yanafanywa na Mahakama huku yeye yupo kimya kama amechomwa nusu kaputi..

Shame on you Chief Justice.
Wachunguzi wanasema hawatarajii kuona kuna Jaji mkuu mwingine atakuja kuvunja rekodi ya hovyo ya huyu wa sasa
 

Stanley Mitchell II

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
939
1,000
Wakati mwingine jaji mkuu atoke kwa utaratibu mzuri. Awe hakimu, jaji mahakama kuu na aende kuwa jaji rufaa... Huu utaratibu wa kukwapua watu kusikojulikana na kuwapichika vyeo ni hatari sana... TRA, ZIMAMOTO, NSSF NK. Mbona mkuu wa majeshi hawezi kutoka Auxiliary Police au Mkuu wa Polis hawezi kutoa KK security? Nilisikitishwa na kitendo cha kumchukua mtu tola Polis kwenda kuwa kamishna mkuu zimamoto. Hii inakatisha tamaa wafanyakazi wa chini wakijua hata wafanye kazi namna gani hawawezi kukaa pale juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha mkuu kuna yule CP wa Polisi aliletwa kwenu Fire kua kua kamishna Mkuu...pole sana
 

wakatanta

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
1,911
2,000
Jaji mkuu anaonyesha hajui majukumu yake, anaamini katika kujinyenyekeza kwa mkulu ndio maana huwa anahudhuria kila hafla ya ikulu kama mateka wa ikulu. Jaji mkuu ni sehemu ya huu udhalimu wanaofanyiwa upinzani kwa kuvalishwa uzalendo wa wanasiasa.
We fala sana ,hivi unajitambua kweli,hanithi llaamal,unamdharau jaji kweli?,wafuasi wa chadema ni mithiri ya ukoma sugu aisee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom