Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,357
- 217,391
Wachunguzi wanasema hawatarajii kuona kuna Jaji mkuu mwingine atakuja kuvunja rekodi ya hovyo ya huyu wa sasaJaji Mkuu wa ovyo haijapata kutokea katika historia ya Tanzania..
Majaji siku zote ni watu wa kuheshimiwa sana lakini sio huyu..
Napata mashaka sana wakati alivyokaimu kwa muda mrefu, alikuwa anapewa TERMS ili akikubaliana nazo ndio awe confirmed..
Ndio haya madudu sasa yanafanywa na Mahakama huku yeye yupo kimya kama amechomwa nusu kaputi..
Shame on you Chief Justice.