singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Hebi wewe mwenzetu tuambie nini chanzo cha Jaji kufikia kusema hivyo mpaka wewe ukatoa comment hii?Kweli CCM imejivua gamba! Hongera Jaji Mkuu! Hongera Mzee Ponbe!
Hebi wewe mwenzetu tuambie nini chanzo cha Jaji kufikia kusema hivyo mpaka wewe ukatoa comment hii?
Ningemuona wa maana huyo Jaji Mkuu kama hata pale suala la mauaji ya wapinzani,Mwangosi yanapatiwa ufumbuzi na haki inatendeka.Lakini yuko kimya,anasubiria kushtukiza akiwa na waandishi wa habari wa televisheni na wa magazeti
Nani kakueleza kuwa anafanya kazi ili wewe umuone wa 'Maana'? Kwan kwenye kesi hizo zilizo chini ya hao mahakimu 502 hakuna zinazowahusu wapinzani huko mitaani? Au kwako mpinzani mpaka avae Shanga Bungeni?
Ungenijibu kwa hoja ningekuelewa lakini kwa matusi wala.Ninauona UBONGO wako uko sawa sawa na bandiko lako.Pili heshimu mawazo ya mtu mwingine hata kama yanatofautiana na wewe.Tumeumbw akila mtu kuwa na maamuzi yake,kamwe hatutakaa tufanane
Kupinga Mawazo au mtazamo wako si kigezo cha kutoheshimu Mtazamo wako! na ukitaka usipingwe mawazo au Mtazamo wako njia bora zaid ni kubaki nao mwenyewe kichwani,ukiuweka na kutaka usipingwe ni sawa na kutembea uchi halafu utake tusitamani Mpododo wako!
Tatizo lako jibu kwa hoja,hivi ukijibu kwa hoja bila matusi utakosa nini??Basi pole maana naona akili zako kama MPODODO wako.
Du! CCM na mahakama tena? hivi ni kweli mahakama na yenyewe ni sehemu ya CCM?Kweli CCM imejivua gamba! Hongera Jaji Mkuu! Hongera Mzee Ponbe!
Du! CCM na mahakama tena? hivi ni kweli mahakama na yenyewe ni sehemu ya CCM?
Ningemuona wa maana huyo Jaji Mkuu kama hata pale suala la mauaji ya wapinzani,Mwangosi yanapatiwa ufumbuzi na haki inatendeka.Lakini yuko kimya,anasubiria kushtukiza akiwa na waandishi wa habari wa televisheni na wa magazeti
Endeleeeni tu kuzungusha mikono...meli ya mabadiliko ilishang'oa nanga...
1) Mahakama ni sehemu ya Serikali inayoongozwa na CCM.
2) Jaji Mkuu na majaji pamoja watendaji wakuu wote wa Mahakama huteuliwa na Rais ambae pia ni Mwnkt wa CCM na kwa kukuongezea tu wakishaapishwa wanakabidhiwa Katiba ya nchi pamoja na Ilani ya CCM kama muongozo Mkuu.
3) Kazi ya Mahakama ni kutafsiri Sheria zinazotungwa na Bunge ambalo limehodhiwa na CCM kwa zaid ya 70% kwa hiyo wanafasiri sheria zilizotungwa na CCM!!
Nadhan umeelewa mahusiano ya CCM na Mahakama.
Siku ukishtakiwa au ukishtaki na kutopata HAKI yako sababu MIKONO yako mitupu ndipo utakapojutia sentensi yako.Ulitakiwa kujibu kwa hoja.Kama nataka kuzungusha mikono nauwezo wa kuzungusha ya kwangu,simtegemei mtu.Na mtu anapotoa HOJA yake anasababu zinazomsukuma kusema hivyo