Jaji Mkuu asipoingilia Kati Jaji Tiganga ataiabisha Mahakama ya Tanzania

Kwa mtizamo wangu mawakili wa watuhumiwa wasijisumbue kutaka kushinda au kudhoofisha kesi on technicalities, badala wajikite kwenye "substance".
Kesi hii kwa unyeti wake haiwezi malizwa kwa makosa ya kiufundi tu! Mwenye masikio na asikie!

Katika kesi hii, Jaji Tiganga ni wakili wa Serikali. Solutions vyama vya upinzani ingieni barabarani Ndio haki iliko Kwa sasa​

Wakati fulani JPM alisema japo tuna mihimili mitatu upo muhimili uliojichimbia zaidi watu wakamlalamikia sana ila shida ni Mathematics na Chemistry hizi huwa hazina matokeo ya kughushi na kubalika badilika. 1+1 ni 2 Tanzinia, Uchina na USA.

Kinachoendelea mahakamani kwenye kesi ya Mbowe hasa kwa siku ya leo imedhihirika ni syndicate baina ya Mahakama au Serikali dhidi ya Upinzani nchini au kwa lugha ya staha ni syndicate baina ya Jaji na Mawakili wa Serikali, polisi dhidi ya Mbowe.

Leo imetokea kituko ambapo document iliyopaswa kuwa store ya mahakama imewasilishwa mahakama na wakili wa Serikali bila ombi lolote la barua kwenda mahakamani.

Kwa lugha nyepesi Jaji au mahakama inawapa madesa mawakili wa Serikali ili wajipange wanapokuja mahakamani na wawapange mashahidi wao.

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe kabisa kwamba
1+1 =2. Lakini huo ukweli unapatikana kwa kutumia "base 10". Ila usishangae kwamba 1+1=10 kwa kutumia "base 2".
 
Wakati fulani JPM alisema japo tuna mihimili mitatu upo muhimili uliojichimbia zaidi watu wakamlalamikia sana ila shida ni Mathematics na Chemistry hizi huwa hazina matokeo ya kughushi na kubalika badilika. 1+1 ni 2 Tanzinia, Uchina na USA.

Kinachoendelea mahakamani kwenye kesi ya Mbowe hasa kwa siku ya leo imedhihirika ni syndicate baina ya Mahakama au Serikali dhidi ya Upinzani nchini au kwa lugha ya staha ni syndicate baina ya Jaji na Mawakili wa Serikali, polisi dhidi ya Mbowe.

Leo imetokea kituko ambapo document iliyopaswa kuwa store ya mahakama imewasilishwa mahakama na wakili wa Serikali bila ombi lolote la barua kwenda mahakamani.

Kwa lugha nyepesi Jaji au mahakama inawapa madesa mawakili wa Serikali ili wajipange wanapokuja mahakamani na wawapange mashahidi wao.

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Inashangaza sana!
 
Hapo kwenye madesa umenirudisha shule kwenye mtihani wa Litreture. Nimecheka sana.

Back
Top Bottom