Jaji Mkuu asipoingilia Kati Jaji Tiganga ataiabisha Mahakama ya Tanzania

Nashauri watu tusilaumu hii kesi ya Mbowe, bali tuusubiri mwisho wake kwa subira.
Kuna jambo Mungu amekusudia.
Hakika mkuu maana kila penye neema ya kuotesha mazao lazima palimwe tu
 
Hakika mkuu maana kila penye neema ya kuotesha mazao lazima palimwe tu
1. Ikulu imwahukumu
2. Polisi wamewabambika
3. Mahakama haiko upande wa haki

4. Amesalia Muumba wao
5. Amebaki Mungu wao
6. Amebaki mtetezi wa haki
7. Amebaki Mungu Aaiyeshindwa..
Huyu hata wakifungwa hatachelewa kufanya JAMBO.

NOTE; Kumbukeni 2015 to 2021 March.
Tumwogope Mungu wakuu wangu
 
Wakati fulani JPM alisema japo tuna mihimili mitatu upo muhimili uliojichimbia zaidi watu wakamlalamikia sana ila shida ni Mathematics na Chemistry hizi huwa hazina matokeo ya kughushi na kubalika badilika. 1+1 ni 2 tanzinia,uchina na USA...
Hii ni kesi kati Rais ambaye ndio mteule wa hao wote dhidi ya Mbowe , Wawakilishi wote wa kimataifa , wakiwemo wa EU na UN wanafahamu
 
Wakati fulani JPM alisema japo tuna mihimili mitatu upo muhimili uliojichimbia zaidi watu wakamlalamikia sana ila shida ni Mathematics na Chemistry hizi huwa hazina matokeo ya kughushi na kubalika badilika. 1+1 ni 2 tanzinia,uchina na USA..
Mhimili wa Mahakama umebakwa tena mtungo.
FB_IMG_1636454233139.jpg
 
Ufafanuzi Kwa kilichotokea mahakamani hadi serikali kuomba hairisho:

Daftari la kuingiza na kutoa mahabusu baada ya kesi ndogo Ya Adam Kasekwa kutolewa uamuzi , utaratibu wa sheria na mahakama nyaraka ile inatunzwa store ya mahakama, swali ambalo mawakili wetu wamejiuliza leo;...

But this is curable 🍿
 
Ufafanuzi Kwa kilichotokea mahakamani hadi serikali kuomba hairisho:

Daftari la kuingiza na kutoa mahabusu baada ya kesi ndogo Ya Adam Kasekwa kutolewa uamuzi , utaratibu wa sheria na mahakama nyaraka ile inatunzwa store ya mahakama, swali ambalo mawakili wetu wamejiuliza leo;

1. Imekuwaje kitu kipo store ya mahakama, kimefikaje mahakamani kwa shahidi wa leo?

2. Kama walikihitaji kutumia walipaswa waandike maombi ya kisheria kuomba nyaraka ile ambayo sasa ni mali ya mahakama Itolewe store ya Mahakama iletwe Mahakani leo, hilo halikufanywa...

3. Kitendo cha nyaraka leo (iliyokuwa store ya mahakama) kuibukia Mahakamani ghafla ni kiashiria kwamba kuna mawasiliano ya siri na kinyume na utaratibu wa Mahakama kati ya ofisi ya mashtaka na mahakama kwamba wanakutana na kupanga mambo ya kufanya Mahakamani..

4. Moja ya sababu ya kutupilia mbali kesi ndogo ya Adam Kasekwa juu ya pingamizi lake, Jaji Siyani alisema ameshangaa kwanini mawakili wa utetezi hawakupinga hiki kielelezo, LEO SIYO TU KINAPINGWA BALI KINAKATALIWA KUINGIA MAHAKAMANI KINYEMELA kutoka kwenye store za Mahakama
This C-a-s-e is totally a shame in its all forms.
 
1. Ikulu imwahukumu
2. Polisi wamewabambika
3. Mahakama haiko upande wa haki

4. Amesalia Muumba wao
5. Amebaki Mungu wao
6. Amebaki mtetezi wa haki
7. Amebaki Mungu Aaiyeshindwa..
Huyu hata wakifungwa hatachelewa kufanya JAMBO.

NOTE; Kumbukeni 2015 to 2021 March.
Tumwogope Mungu wakuu wangu
ila tuli suffer
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
Si mnasema hakufanya jinai? mbona mnakimbilia makosa ya waendesha mashitaka? hamuoni kwamba sasa mahakama ndo imeimarika hasa kwamba wakosefu hawana nafasi ya kuhonga wapelelezi na waendesha mashitaka? ACHENI MAHAKAMA IFANYE KAZI YAKE, mngempenda sana mngemuonya asifanye ugaidi wala saizi msingekuwa kwenye position ya kukimbilia kuangalia document gani imekosewa ili iwaokoe...si mnasema hana kosa hofu yote hiyo ya nini?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtizamo wangu mawakili wa watuhumiwa wasijisumbue kutaka kushinda au kudhoofisha kesi on technicalities, badala wajikite kwenye "substance".
Kesi hii kwa unyeti wake haiwezi malizwa kwa makosa ya kiufundi tu! Mwenye masikio na asikie!
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
Kwa mtizamo wangu mawakili wa watuhumiwa wasijisumbue kutaka kushinda au kudhoofisha kesi on technicalities, badala wajikite kwenye "substance".
Kesi hii kwa unyeti wake haiwezi malizwa kwa makosa ya kiufundi tu! Mwenye masikio na asikie!
 
CCM inatumia nguvu kuliko akili, kwa nn wanatudhalilisha wa Tanzania namna hii tunaonekana hatuna elimu,? Mama samia popote ulipo huu ujinga hivi unauona kweli?,,.. Mimi nikada wa CCM ila nimetokea kuichukia kutokana na huu utopolo wa mahakama zetu
 
Back
Top Bottom