Jaji Mark Bomani: Ni vizuri kukawepo kura ya maoni kuhusu Muungano (Referendum)

Ng'wamapalala

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
6,808
6,500
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Mack Bomani ametoa wito wa kupigwa kwa kura ya maoni kwa wakazi wa Tanzania Visiwani ili kuona kama wanahitaji mfumo gani wa Muungano kabla ya kuendelea na mchakato wa sasa wa rasimu ya Katiba mpya .

Akizungumza na waandishi wa habari leo katika Ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO , Jaji Mack Bomani alisema anaipongeza tume ya Jaji Joseph Warioba kwa kazi nzuri na pia kwa mapendekezo yake juu ya Muungano wa Tanzania.

Kabla ya kuanza kwa mazungumzo hayo Jaji Bomani alitoa historia fupi juu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambapo ameeleza kuwa muungano huo ulipendekezwa na hayati Sheikh Abeid Amani Karume na hayati Mwalimu Julius Nyerere, ambao walikutana mara baada ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari, mwaka 1964.

Jaji Bomani aliongeza hayati Karume alipendelea nchi mbili kuungana na kuwa nchi moja , lakini hayati Nyerere alisita kidogo kwa kuogopa kwamba ingeonekana Zanzibar imemezwa na Tanganyika na pengine kuleta maasi Zanzibar hivyo kupendekeza kuundwa mfumo wa muda mfupi wakati mfumo wa kudumu ukifanyiwa kazi.

"Suala la Muungano ndilo suala kubwa kuliko yote katika mchakato wa Katiba mpya. Niliwahi kuto ushauri nao ni kwamba ifanyike kura ya maoni ya wananchi hasa Zanzibar kama wanautaka muungano au la na kama wanautaka uwe muungano wa mfumo gani ? Mpaka sasa maoni ambayo yanasikika ni maoni ya viongozi mara Zanzibar ijitoe kwenye muungano mara tuwe na muungano wa mkataba," alisema Jaji Bomani.

Akijibu maswali aliyoulizwa na waandishi wa habari ,Jaji Mack Bomani amesema katika uundwaji wa Serikali tatu anaamini utaweza kumaliza migogoro inayojitokeza mara kwa mara hasa upande wa Zanzibar kuogopa kumezwa. "Woga wa gharama za mfumo wa Serikali tatu hauna msingi.Inategemea Serikali hizo unazifanya vipi.ipo mifano mingi mno duniani ya miungano ya mfumo mbalimbali," alisisitiza.

Pia ameongezea kuwa kama kutaundwa Serikali tatu basi iwe Serikali ya Tanganyika, Serikali ya Zanzibar na Serikali ya Muungano.

Akiongezea kuhusu katiba mpya amesema "kwa maoni yangu si lazima kazi hii ya katiba iishe kabla ya 2015, tupate muda wa kutosha ili tuweze kupata katiba ya kueleweka na kukubalika na kila mtu".

NA BELINDA KWEKA – MAELEZO,DSJ
 
Kwa nini viongozi wetu wanakuwa hawataki kusikia wananchi wakiomba kupewa kura ya maoni (Referendum) ili kujiamulia mstakabali wa muungano kama uendelee kuwepo au uwekwe kwenye kopo taka (dustbin).

Tumeishi na manung'unguniko hasa kutoka Zanzibar kwa miaka zaidi ya miaka 34 na katika hiyo, mpaka Rais Aboud Jumbe alishinikizwa kuachia madaraka kwa sababu ya swala hili la Muungano na sidhani kama inafaa tuendelee kuishi tena na malalamiko wakati nafasi ya kufanya mabadiliko imetokea. We are just horsing around with a RARE opportunity.

Huu ni muda wa kuwapa wananchi sauti itakayowafanya watoe maamuzi muhimu na hata likitokea jambo baya mbeleni, hakutakuwa na mtu au taasisi ya kubeba lawama zaidi ya wananchi wenyewe.

It's time for REFERENDUM. The time is NOW kama nilivyosema few days ago kwenye hii Thread,

https://www.jamiiforums.com/katiba-...-moja-mbili-au-tatu-tupiganie-referendum.html
 
wewe nchi hii huijui au unataka kusononeshwa. kura ya maoni ni haki ya raia sasa serikali ikupe haki hiyo kirahisi? hapo kudai haki hiyo ni lazima tuwe kama waturuki wiki hii.
 
Kwa nini viongozi wetu wanakuwa hawataki kusikia wananchi wakiomba kupewa kura ya maoni (Referendum) ili kujiamulia mstakabali wa muungano kama uendelee kuwepo au uwekwe kwenye kopo taka (dustbin).

Tumeishi na manung'unguniko hasa kutoka Zanzibar kwa miaka zaidi ya miaka 34 na katika hiyo, mpaka Rais Aboud Jumbe alishinikizwa kuachia madaraka kwa sababu ya swala hili la Muungano na sidhani kama inafaa tuendelee kuishi tena na malalamiko wakati nafasi ya kufanya mabadiliko imetokea. We are just horsing around with a RARE opportunity.

Huu ni muda wa kuwapa wananchi sauti itakayowafanya watoe maamuzi muhimu na hata likitokea jambo baya mbeleni, hakutakuwa na mtu au taasisi ya kubeba lawama zaidi ya wananchi wenyewe.

It's time for REFERENDUM. The time is NOW kama nilivyosema few days ago kwenye hii Thread,

https://www.jamiiforums.com/katiba-...-moja-mbili-au-tatu-tupiganie-referendum.html
Nenda kalalamikie lumumba mkuu JF hapatakusaidia ni serikali ya ccm ambayo unashinda kutwa nzima wewe na Ritz mkiitetea
 
Last edited by a moderator:
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Mack Bomani ametoa wito wa kupingwa kwa kura ya maoni kwa wakazi wa Tanzania Visiwani ili kuona kama wanahitaji mfumo gani wa Muungano kabla ya kuendelea na mchakato wa sasa wa rasimu ya Katiba mpya .

Nadhani hapo kwenye red panahitaji marekebisho kidogo mkuu, sio?
 
Kidogo kidogo Paka anaendelea kuvalishwa kengele...
 
Muungano mi msahafu, kuuhoji ni sawa na ku-edit maandiko matakatifu na mwenyezi mungu. (CCM)
 
Pia ameongezea kuwa kama kutaundwa Serikali tatu basi iwe Serikali ya Tanganyika, Serikali ya Zanzibar na Serikali ya Muungano.

Of All the things, Hapo umenena babu...Safi sana, tunataka watu objective kama ninyi. Mimi Kuliko hiyo serekali iitwe ya Tanzania Bara ni bora kabisa isiwepo!
 
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Mack Bomani ametoa wito wa kupigwa kwa kura ya maoni kwa wakazi wa Tanzania Visiwani ili kuona kama wanahitaji mfumo gani wa Muungano kabla ya kuendelea na mchakato wa sasa wa rasimu ya Katiba mpya .

Akizungumza na waandishi wa habari leo katika Ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO , Jaji Mack Bomani alisema anaipongeza tume ya Jaji Joseph Warioba kwa kazi nzuri na pia kwa mapendekezo yake juu ya Muungano wa Tanzania.

Kabla ya kuanza kwa mazungumzo hayo Jaji Bomani alitoa historia fupi juu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambapo ameeleza kuwa muungano huo ulipendekezwa na hayati Sheikh Abeid Amani Karume na hayati Mwalimu Julius Nyerere, ambao walikutana mara baada ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari, mwaka 1964.

Jaji Bomani aliongeza hayati Karume alipendelea nchi mbili kuungana na kuwa nchi moja , lakini hayati Nyerere alisita kidogo kwa kuogopa kwamba ingeonekana Zanzibar imemezwa na Tanganyika na pengine kuleta maasi Zanzibar hivyo kupendekeza kuundwa mfumo wa muda mfupi wakati mfumo wa kudumu ukifanyiwa kazi.

"Suala la Muungano ndilo suala kubwa kuliko yote katika mchakato wa Katiba mpya. Niliwahi kuto ushauri nao ni kwamba ifanyike kura ya maoni ya wananchi hasa Zanzibar kama wanautaka muungano au la na kama wanautaka uwe muungano wa mfumo gani ? Mpaka sasa maoni ambayo yanasikika ni maoni ya viongozi mara Zanzibar ijitoe kwenye muungano mara tuwe na muungano wa mkataba," alisema Jaji Bomani.

Akijibu maswali aliyoulizwa na waandishi wa habari ,Jaji Mack Bomani amesema katika uundwaji wa Serikali tatu anaamini utaweza kumaliza migogoro inayojitokeza mara kwa mara hasa upande wa Zanzibar kuogopa kumezwa. "Woga wa gharama za mfumo wa Serikali tatu hauna msingi.Inategemea Serikali hizo unazifanya vipi.ipo mifano mingi mno duniani ya miungano ya mfumo mbalimbali," alisisitiza.

Pia ameongezea kuwa kama kutaundwa Serikali tatu basi iwe Serikali ya Tanganyika, Serikali ya Zanzibar na Serikali ya Muungano.

Akiongezea kuhusu katiba mpya amesema "kwa maoni yangu si lazima kazi hii ya katiba iishe kabla ya 2015, tupate muda wa kutosha ili tuweze kupata katiba ya kueleweka na kukubalika na kila mtu".

NA BELINDA KWEKA – MAELEZO,DSJ

Yaani hapo kwenye red hapo ndio yote kwa yote.....huyu mzee kweli alikuwa mwanasheria wa ukweli si hawa wa siku hizi Vululuvululu!
 
Ninashangaa kwa nini serikali ya CCM haitaki kutuletea kura ya maoni ili tuamua kama tunataka au hatuutaki muungano??????
 
Tumetengenezewa agenda ya watu kupokezana kuongelea muungano kutoka kwenye rasmu hii ili tusijadili mambo mengine yanayohusu maisha yetu kama suala la kuendelea kumwekea kinga rais asishtakiwe pindi anapokuwa amemaliza muda wake kama alitumia madaraka yake kinyume na katiba

Hapa panahitaji mjadala mkubwa pia kwani hatuwezi kuendelea na utaratibu wa kuitumia ikulu yetu kwa manufaa binafsi kama alivyofanya mjomba Ben pamoja na kujitajirisha hvyo alafu eti hatuwezi kumwajibisha ...hii hatuikubali hata kidogo.
 
Kwa nini Wzanzibar peke yao ndiyo wapige kura kama wanautaka muungano na muundo wa muungano wanaoutaka na sio Watanganyika Ana maana Watanganyika ni watu poa sana kiasi kwamba lolote kwao ni sawa?
Nadhani Jji Bomani maepotoka sisi sio poa kihivyo. Mimi muungano siutaki, hata mwalimu Nyerere alikuwa hawataki Wazanzibar kutokana na kuwa watu wenye chokochoko zisizoisha na ndiyo maana alisema ' kama angalikuwa na uwezo wa kukisukumia mbali kisiwa cha zanzibar angelikisukuma lakini hana uwezo huo hivyo analazimika kukubaliana na kushirikiana nacho tu'. Sasa watanganyika wanaanza kuona ukweli wa kauli ya Mwalimu. Hawa watu ni wasumbufu na walalamishi sana. Hebufikiria kama tungaliunda serikali moja hali ingalikuwaje, ikiwa sasa hivi kuna malalamiko yasiyoisha na wala hayatazamiwi kuja kuisha.
Kama wananchi wa pande zote ndiyo tuanaungana, basi ni busa wananchi wa pande zote tukapiga kura. Kura yangu mimi ni HAPANA kwa muungano wa aina yoyote.
Muungano huu kila mwanachi ameuchoka hata viongozi wa pande zote wameuchoka hawautaki, ila wanautetea tu kwa sababu ya kuogopa mambo makuu matatu:
  1. Jumuia za kimataifa zitatucheka kwa kushindwa kuendelea na muungano
  2. Mzimu wa Mwalimu Nyerere utawasuta kwa sababu ya kushindwa kulinda muungano ulioasisiwa na Waafrika
  3. Sio sera ya Chamal
  4. Lakini kero zitokanazo na muungano zinazidishwa na viongozi wa Zanzibar ambao wanaona muungano unawakwamisha katika kufikia malengo yao binafsi kwa upande mmoja, lakini kwa upande mwingine wale wanaoweza kutimiza ndoto zao za kisiasa kupitia muungano wanaupenda.
  5. Vita ya kuutaka au kuukata muungano iko kati ya Wanzibar wenyewe kuliko ilivyo kwa Watanganyika. Watanganyika viongozi walikuwa hawaulalamikii sana Muungano huu kwa sababu ulikuwa hauingilii sana maslahi yaoya kisiasa, lakini baada ya mapendekezo ya Tume ya Katiba mpya kupendekza serikali Tatu, imeonekana kugusa maslahi yao ya kisiasa. Wamechanganyikiwa wagombee nafasi ipi: Raisi wa Tanzania bara au Serikali ya Muungano. Akiwa Raisi ya Tanzania Bara hatatambulika Kimataifa, akiwa Raisi wa Serikali ya Muungano atatambulika Kimataifa lakini atakuwa hana madaraka makubwa kiutendaji.
  6. Haya yanawahusu wnananchi wenye uchu wa Uraisi Kama vile Samweli Sita, Maalimu Sief Sharifu Hamad na wengine wanaofanan na hao lakini sio wananchi wa kawaida.
  7. TUPIGE KURA PANDE ZOTE
    MWANASHERIA Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Mack Bomani ametoa wito wa kupigwa kwa kura ya maoni kwa wakazi wa Tanzania Visiwani ili kuona kama wanahitaji mfumo gani wa Muungano kabla ya kuendelea na mchakato wa sasa wa rasimu ya Katiba mpya .
Akizungumza na waandishi wa habari leo katika Ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO , Jaji Mack Bomani alisema anaipongeza tume ya Jaji Joseph Warioba kwa kazi nzuri na pia kwa mapendekezo yake juu ya Muungano wa Tanzania.

Kabla ya kuanza kwa mazungumzo hayo Jaji Bomani alitoa historia fupi juu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambapo ameeleza kuwa muungano huo ulipendekezwa na hayati Sheikh Abeid Amani Karume na hayati Mwalimu Julius Nyerere, ambao walikutana mara baada ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari, mwaka 1964.

Jaji Bomani aliongeza hayati Karume alipendelea nchi mbili kuungana na kuwa nchi moja , lakini hayati Nyerere alisita kidogo kwa kuogopa kwamba ingeonekana Zanzibar imemezwa na Tanganyika na pengine kuleta maasi Zanzibar hivyo kupendekeza kuundwa mfumo wa muda mfupi wakati mfumo wa kudumu ukifanyiwa kazi.

"Suala la Muungano ndilo suala kubwa kuliko yote katika mchakato wa Katiba mpya. Niliwahi kuto ushauri nao ni kwamba ifanyike kura ya maoni ya wananchi hasa Zanzibar kama wanautaka muungano au la na kama wanautaka uwe muungano wa mfumo gani ? Mpaka sasa maoni ambayo yanasikika ni maoni ya viongozi mara Zanzibar ijitoe kwenye muungano mara tuwe na muungano wa mkataba," alisema Jaji Bomani.

Akijibu maswali aliyoulizwa na waandishi wa habari ,Jaji Mack Bomani amesema katika uundwaji wa Serikali tatu anaamini utaweza kumaliza migogoro inayojitokeza mara kwa mara hasa upande wa Zanzibar kuogopa kumezwa. "Woga wa gharama za mfumo wa Serikali tatu hauna msingi.Inategemea Serikali hizo unazifanya vipi.ipo mifano mingi mno duniani ya miungano ya mfumo mbalimbali," alisisitiza.

Pia ameongezea kuwa kama kutaundwa Serikali tatu basi iwe Serikali ya Tanganyika, Serikali ya Zanzibar na Serikali ya Muungano.

Akiongezea kuhusu katiba mpya amesema "kwa maoni yangu si lazima kazi hii ya katiba iishe kabla ya 2015, tupate muda wa kutosha ili tuweze kupata katiba ya kueleweka na kukubalika na kila mtu".

NA BELINDA KWEKA – MAELEZO,DSJ
 
Kwa nini Wzanzibar peke yao ndiyo wapige kura kama wanautaka muungano na muundo wa muungano wanaoutaka na sio Watanganyika Ana maana Watanganyika ni watu poa sana kiasi kwamba lolote kwao ni sawa?
Nadhani Jji Bomani maepotoka sisi sio poa kihivyo. Mimi muungano siutaki, hata mwalimu Nyerere alikuwa hawataki Wazanzibar kutokana na kuwa watu wenye chokochoko zisizoisha na ndiyo maana alisema ' kama angalikuwa na uwezo wa kukisukumia mbali kisiwa cha zanzibar angelikisukuma lakini hana uwezo huo hivyo analazimika kukubaliana na kushirikiana nacho tu'. Sasa watanganyika wanaanza kuona ukweli wa kauli ya Mwalimu. Hawa watu ni wasumbufu na walalamishi sana. Hebufikiria kama tungaliunda serikali moja hali ingalikuwaje, ikiwa sasa hivi kuna malalamiko yasiyoisha na wala hayatazamiwi kuja kuisha.
Kama wananchi wa pande zote ndiyo tuanaungana, basi ni busa wananchi wa pande zote tukapiga kura. Kura yangu mimi ni HAPANA kwa muungano wa aina yoyote.
Muungano huu kila mwanachi ameuchoka hata viongozi wa pande zote wameuchoka hawautaki, ila wanautetea tu kwa sababu ya kuogopa mambo makuu matatu:
  1. Jumuia za kimataifa zitatucheka kwa kushindwa kuendelea na muungano
  2. Mzimu wa Mwalimu Nyerere utawasuta kwa sababu ya kushindwa kulinda muungano ulioasisiwa na Waafrika
  3. Sio sera ya Chamal
  4. Lakini kero zitokanazo na muungano zinazidishwa na viongozi wa Zanzibar ambao wanaona muungano unawakwamisha katika kufikia malengo yao binafsi kwa upande mmoja, lakini kwa upande mwingine wale wanaoweza kutimiza ndoto zao za kisiasa kupitia muungano wanaupenda.
  5. Vita ya kuutaka au kuukata muungano iko kati ya Wanzibar wenyewe kuliko ilivyo kwa Watanganyika. Watanganyika viongozi walikuwa hawaulalamikii sana Muungano huu kwa sababu ulikuwa hauingilii sana maslahi yaoya kisiasa, lakini baada ya mapendekezo ya Tume ya Katiba mpya kupendekza serikali Tatu, imeonekana kugusa maslahi yao ya kisiasa. Wamechanganyikiwa wagombee nafasi ipi: Raisi wa Tanzania bara au Serikali ya Muungano. Akiwa Raisi ya Tanzania Bara hatatambulika Kimataifa, akiwa Raisi wa Serikali ya Muungano atatambulika Kimataifa lakini atakuwa hana madaraka makubwa kiutendaji.
  6. Haya yanawahusu wnananchi wenye uchu wa Uraisi Kama vile Samweli Sita, Maalimu Sief Sharifu Hamad na wengine wanaofanan na hao lakini sio wananchi wa kawaida.
  7. TUPIGE KURA PANDE ZOTE

  1. Mkuu umesema kweli lakini lililokubwa naona viongozi wetu wanaogopa kuujongea karibu ukweli wa hali halisi inavyoonekana kwamba wananchi walio wengi hawataki muungano na kama uwepo, basi wanataka serikali mmoja.

    Ninakubaliana na angalizo la jumla alilolitoa Mzee Bomani lakini ukiangalia kwa undani katika ujumbe wake utagundua kuwa, anataka kujiondoa kama yuko katika kundi la kutaka muungano uvunjike na kubwa kabisa anatengeneza mazingira ambayo anataka kuwajengea mazingira ya kisiasa, wanasiasa wa Tanzania bara ili kuondokana na lawama kuwa wao ndiyo walikuwa INSTIGATOR wa muungano kuvunjika.

    Hili wazo la kutaka wanasiasa wa Zanzibari waamue kuitisha kura ya maoni Zanzibari badala ya Tanzania nzima ni kutaka kuwabebesha lawama za kisiasa wazinzibari kwa vile wanasiasa wa Tanzania bara pamoja na yeye wanashindwa kulitua kiushujaa ZIGO linaloitwa muungano tegemezi ambalo Mwl. Nyerere aliwabebesha Watanganyika.

    Wanasiasa wetu wa bara wanaogopa kuandamwa na mzimu wa Mwl. Nyerere. Mzee malecela yuko wapi na mbio za kutaka kuwa Rais na pia Aboud Jumbe naye ilikuwaje?. Hilo ndilo zimwi la Mwl. Nyerere.

    Kura ya maoni ya muungano ni vizuri ikapigwa Tanzania na siyo Zanzibar peke yake.
 
WAKATI HUU NI MUHIMU KUPOKEA KILA WAZO (MAONI) KUHUSU MUSTAKABALI WA KATIBA MPYA kisha tutaangalia kama kila wazo linawakilisha kundi kubwa la watanzania. Wengi wape.
 
Kiinglish changu co kizuri asee, referendum Ni aina ya serikali AMA? Manake hutaki serikali 1, 2 AMA tatu, sa referendum ili tuchague nn ss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom