Jaji Mark Bomani ashauri kodi ya dhahbu iboreshwe..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaji Mark Bomani ashauri kodi ya dhahbu iboreshwe.....

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rutashubanyuma, Oct 21, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
  Mwenyekiti wa Bodi ya madini nchini, Mheshimiwa Jaji Mark Bomani ameshauri kodi ya dhahabu isawazishwe ili ishabihiane na bei ya soko.

  Ilivyo sasa ni dola $250 kwa ounce moja ya dhahabu badala ya ile ya soko ambayo ni $1,500 ndiyo hutozwa kodi. Taifa linapoteza zaidi ya asilimia 80 kutokana na mfumo huu wa kisheria na kufanya madini ta dhahabu yasiwe na mchango katika pato la taifa wakati ambapo uzalishaji hapa nyumbani umepanda mara dufu na bei kwenye soko la dunia inapanda kila kukicha kutokana na kuanguka kwa sarafu ya dola ya kimarekani kutokana na uchumi kudorora.

  SOURCE: CHANNEL TEN LAST EVENING NEWS
   
 2. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Hapa anazidi ku-challenge serikali ambayo inajifanya haioni, kumbe inaona lakini kwa sababu kila serikali na waziri mpya huwekwa sawa ili anyamaze. bila hivyo hamna sababu nyingine ya msingi maana watu wote wanaohusika kubadili na kufanya watanzania wote wafaidi hela ya dhahabu wana macho, masikio na ni wasomi wenye digrii za ukweli si 'fake'
   
Loading...