Jaji Makame, Wapiga kura halisi(physically) hawawezi kutimia 19m! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaji Makame, Wapiga kura halisi(physically) hawawezi kutimia 19m!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by NasDaz, Oct 16, 2010.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]
  [/FONT]

  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Jaji Lewis Makame. Mwenyekiti wa NEC amekanusha tuhuma cha Profesa Baregu kwamba NEC imeongoza idadi ya wapiga kura na kufikia milioni 19 ili kuisaidia CCM kupata ushindi! Si kwamba anakanusha idadi ya wapiga kura haijafikia milioni 19 bali alichokanusha ni madai kwamba idadi hiyo imeongezwa isivyo halali-kwamba hawafikii milioni 19! Kimsingi, madai ya Profesa Baregu yana mantiki kwakwa haingii akilini kwamba nchi inayokadiriwa kuwa na wananchi milioni 40 karibu nusu yake wamejiandikisha![/FONT]
  [FONT=&quot]Pamoja na yote hayo, naamini leo hii ukiuliza ni Watanzania wangapi wanamiliki simu za mkononi kwa kuangalia namba zilizosajiliwa basi bila shaka unaweza kukuta wamefikia hata milioni 50 wakati Watanzania wanakadiriwa kufikia milioni 40!![/FONT]
  [FONT=&quot]Mimi binafsi, siamini kama Watanzania waliojindikisha wanafikia milioni 19. Endapo sensa itafanyika(mtu kwa mtu) basi am sure idadi hiyo haifiki! Sasa inawezekana kwamba ni kweli NEC imeongoza idadi ya wapiga kura? Binafsi, sizani endapo wameongezwa ingawaje Jaji Makame ameshindwa kutumia takwimu za kisayansi wakati Profesa Baregu ametumia takwimu za kisayansi kwa kuangalia upande mmoja; nao ni Population Growth Rate! Wakati ametumia Population Growth Rate (PGR), Profesa Baregu ama kwa makusudi ya kisiasa au kwa kupitiwa/kutofahamu ameshindwa kutumia na population Death Rate (PDR) na kisha kufanya mahesabu yake! Ukitumia PGR peke yake, ni kweli idadi ya wapiga kura hawezi kufikia milioni 19 na kama wanafikia basi kuna namna! Lakini si wote ambao walijiandikisha tokea zoezi hili lianze (i think 2004) bado wapo hai duniani na sizani endapo wote waliofariki taarifa zao zimeondolewa kwenye daftari la wapiga kura! Hivyo basi, sina shaka kwamba idadi hiyo ya milioni 19 ndani yake wapo marehemu ambao majina yao bado yamo kwenye daftari la wapiga kura! Pamoja na mapungufu hayo, ni jambo la kawaida kuona Mtu mmoja ana kitambulisho zaid ya kimoja cha kupigia kura ikiwa na maana kwamba amejiandikisha zaidi ya mara moja! Wapo waliojondikisha zaidi ya mara 2! Unakuta mtu hakioni kitambulisho chake hivyo zoezi linapoanza upya na yeye anaenda kujiandikisha a hasemi kwamba alishajiandikisha hapo awali! Ingawje NEC ilishatoa majina ya watu waliojindikisha zaidi ya mara moja, lakini nina uhakika wapo wengi tu ambao wamejiandikisha zaidi ya mara moja na majina yao hayakutolewa kwamba wamejiandikisha zaidi ya mara moja![/FONT]
  [FONT=&quot]Pamoja na yote hayo, bado kuna ukweli mwingine kwamba raia safari hii walihamasika sana kujiandikisha kupiga kura! Si kwamba walihamasika ili watumie haki yao ya kuchagua, bali wengi wao walihamasika ili tu wapate ID!![/FONT]
  [FONT=&quot]Hivyo basi, kwa kuangalia ukweli huu utakuta kwamba hoja ya kwamba NEC imepika idadi ya wapiga kura isiwe na ukweli wowote hivyo hatutarajii wanapinzani, hususani CHADEMA kuifanya hii nayo kuwa ni hoja ya msingi ya kuyatilia mashaka matokeo ya uchaguzi mkuu![/FONT]
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umetumwa. Kwa nini hamtaki mshindi apatikane kwa haki. Mnataka milioni 3 bila jasho...We say no to your political hooligalism!
   
 3. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Hebu tuige matangazo ya simu, "acha longolongo."

  Jibu sahihi angalia web ya National Bureau of Statistics. Wapi ambako Population Growth rate inafuatiwa na death rate? nchi gani. Ukisema Population growth rate, umesha weka yote hayo. Yaani umeshafikiria wanaozaliwa, wanaokufa, wanaohama, wanaohamia, nk. sasa kweli mkuu unamkosoa Baregu kwa hilo!

  Hilo la Makame wetu, amini huyu anaelekea kuwa Kivuitu wetu. Ashindwe, asishindwe kujibu anayotakiwa, hilo ni kosa la aliyemteua. Uwezo mdogo usiwe sababu ya kuharibu kazi yetu. Kama hayo ni magumu, hapo baada ya oktoba 31 ataweza kujumulisha kura zetu kwa siku mbili/tatu kama tume inavyojigamba?
   
 4. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  soma thread ya mbinu za wizi wa kura ambapo wauwt wanakiri kuwa vijana wataalamu wa it waliopo undali street wakiongozwa na miraji kikwete walikwishaingilia server ya tume ya uchaguzi kwa kutumia ipi address. Sasa madhumuni ya kuingia katima server hiyo niini. Hivi kwa akili yako wazee wa tanzania wenye umri wa jaji lewis makame na ndg kiravu wanajua abc za information technology?

  Si ndio maana wizi wa safari hii ni kwa kutumia it na tayari mtoto wa jk yupo undali stsr kwa kazi hiyo
   
Loading...