Elections 2010 Jaji Makame apata kigugumizi kutangaza matokeo ya Jimbo la Ubungo

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,470
1,225
ITV live hapa jaji mstaafu Lewis Makame alipofika kusoma matokeo ya Jimbo la Ubungo akapatwa kigugumizi ndipo mkurugenzi wa NEC akamwambia eti Jimbo la Ubungo linarekebishwa bado aklaliruka baada ya mjadala wa kama 2min na kuendelea na Jimbo la ukerewe. Heheheehe looks like they are not over with kuchakachua mpaka mbele ya waandishi wa habari na live kwenye TV zote local???
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,478
2,000
Ndo machampion wa uchakachuaji hao ndo maan wameamua kumtonya mkuu asije haribu alafu Slaa akaidaka
 
realtz7

Senior Member
Oct 23, 2010
110
0
yap makame amemezeshwa kila kiu kumbe uchakachuaj bado, seems idadi imewachanganya may be kubwa kuliko ya vituoni, kiravu kamwambia ujue kwa ubugo Mnyika ana data full so lazma yalingane na ya kwake!hawa jamaa ni wehu sana uamnbiwe hawana hata aibu, pia very low band with hata kuchakachua namba zisizo na unknown wanashindwa? just whole number inakuwa kazi je wangewekewa dy/dx? matokeo yangekuwa yanatoka after a year
 
Mr. Mwalu

JF-Expert Member
Feb 4, 2010
1,057
1,500
anayemlipa mpiga zumari ndie anaye chagua wimbo! Tunahitaji kuwekeza kwenye elimu ya uraia, ili wananchi waelewe kwamba wao ndio wenyenchi na kinachofujwa (kuwalipa incompetent NEC etc) ni kodi zinazokatwa kutoka kwenye mapato yao kiduchu wanayokamulia jasho!
 
Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,862
0
Hao wazee wamegeuza uchakachuaji kuwa mchezo wa kawaida kabisa. nami nimeshuhudia. inawezekana alikuwa anamuuliza kilavu kama zimechakachuliwa tayari manake alishangaa kuona kura za Dr. Slaa bado ni nyingi sana. nimekuwa nikitafakari bila nec ya hao wazee wachumia tumbo sasa hivi tungekuwa barabarani tukishangilia ukombozi wa nchi yetu. ngoja tujipange itafika wakati hata uchakachuaji utashindwa.
 
Kishaju

Senior Member
Feb 23, 2008
113
225
Jamani mliona Kenya ilivyokuwa kwenye uchaguzi uliopita....?? Kuna uchaguzi mdogo wa majimbo matatu ulifanyika september jamaa wamemaliza kupiga kura saa kumi na moja saa tano usiku jamaa walishamaliza kila kitu au ni mfano mdogo au hata wakati wa katiba, kufika asubuhi matokea ya nchi nzima yalishajulkana...sisi inachukua siku zaidi ya 5...what a shame?
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
52,070
2,000
Wakati Tume ya taifa ya uchaguzi ikiendelea kutangaza matokeo, malalamiko dhidi ya tume hiyo yameendelea kutolewa huku makundi ya haki za binaadamu yakisema kuwa vyama vya upinzani vimeibiwa kura.
 
QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
0
ITV live hapa jaji mstaafu Lewis Makame alipofika kusoma matokeo ya Jimbo la Ubungo akapatwa kigugumizi ndipo mkurugenzi wa NEC akamwambia eti Jimbo la Ubungo linarekebishwa bado aklaliruka baada ya mjadala wa kama 2min na kuendelea na Jimbo la ukerewe. Heheheehe looks like they are not over with kuchakachua mpaka mbele ya waandishi wa habari na live kwenye TV zote local???

Alimtonya kwa sababu waliogopa kupigwa mawe maana za Ubungo zinajulikana pamoja na uchakachuaji uliofanywa!!!!
 
The Dreamer

JF-Expert Member
Feb 2, 2009
1,282
0
yap makame amemezeshwa kila kiu kumbe uchakachuaj bado, seems idadi imewachanganya may be kubwa kuliko ya vituoni, kiravu kamwambia ujue kwa ubugo Mnyika ana data full so lazma yalingane na ya kwake!hawa jamaa ni wehu sana uamnbiwe hawana hata aibu, pia very low band with hata kuchakachua namba zisizo na unknown wanashindwa? just whole number inakuwa kazi je wangewekewa dy/dx? matokeo yangekuwa yanatoka after a year

Differentiation wanaweza ila integration ile kama kiboko pinda sijui!

Huu wizi wanaofanya hawachelewi kumuibia bosi wao Jk kwa kufikiri wanamwibia Dr Slaa
 
Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,213
2,000
Kiravu shetani kweli mpare yule. Makame alitaka kuingia kichwa kichwa kusoma matokeo na 'kivuitu' akamuwahi. Halafu yule mtangazaji aliniboa zaidi kuingilia kile tulichokuwa tunasikia wakinong'onezana.
 
pcman

JF-Expert Member
Oct 9, 2008
746
250
ubungo tuko makini, pamoja na JJ mnyika, tuna full data hivyo inabidi wakajipange.
 
Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
5,930
2,000
Kiravu shetani kweli mpare yule. Makame alitaka kuingia kichwa kichwa kusoma matokeo na 'kivuitu' akamuwahi. Halafu yule mtangazaji aliniboa zaidi kuingilia kile tulichokuwa tunasikia wakinong'onezana.

nadhani haya majina ya 'ki' ni matatizo sana.mf Kivuitu,kiravu,kina.. na,kikw ..te,kingu..nge
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom