Jaji Makame Anajisikiaje Kuwa M/Kiti wa Tume Inayolalamikiwa Kila Kukicha!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaji Makame Anajisikiaje Kuwa M/Kiti wa Tume Inayolalamikiwa Kila Kukicha!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Dec 1, 2010.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wazee,
  Kuna jamaa mmoja aliniambia kwamba majaji ni watu makini sana katika kufanya mambo yao. Katika nchi zote duniani hata zisizofuata demokrasia na haki za binadamu majaji ni miongoni mwa kundi la watu wanaoheshimiwa sana. Kwa ujumla, hata Tanzania hali ndivyo ilivyo. Sasa kwa muktadha huo, nimekuwa nikimtafakari sana Jaji Lewis Makame kwamba hivi anajisikiaje anaposikia wananchi, NGOs, viongozi wakongwe na wanaoheshimika hapa nchini, vyombo vya habari na wanaharakati kwa ujumla wakipiga kelele kutaka mabadiliko ya Tume???? Kwamba tume anayoingoza siyo huru na kwamba maamuzi yake hayawezi kupingwa mahakamani.

  Bila chembe ya shaka lazima naye anajua fika kwamba kinachoongelewa na wananchi ni haki. Lakini yeye anajisikiaje?? Anafanyeje kazi katika mazingira hayo, kama ni jaji aliyeiva kwelikweli??? Je, moyoni mwake ana amani kweli??
   
 2. nyasatu

  nyasatu Member

  #2
  Dec 1, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MHH best kuna wakati inafika watu wanakosa roho za huruma au za kujiuliza maswali just bcoz wanaweka maslahi mbele,nyuma,pembeni,juu na chini yao....hapo ukimuuliza atasema ni fitina,ila muache tu guilty consious itammaliza,hawa ndio wanaokufa vifo vya ajabu
   
 3. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280

  Sidhani kuwa haya malalamiko yanamkosesha usingizi!!
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ni hivi, cowards die many times before the actual death! Kama ana dead conscience wala hawezi kufeel chochote!
   
 5. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anajisikia poa tu!
  Mbona wako wengi Majaji wasotenda haki hapa Bongo!
  Kwanza Ujaji aliupata kwa kichakachua!
   
 6. d

  dotto JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Muonekano wake ni kama mtu katili sana. waliomchagua nao waliangalia hilo. Labda walio na updates zake enzi za ujaji. maana akina Jaji Nyarari wameacha mambo mazuri na wanakumbukwa sana.
   
 7. n

  ngoko JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nionavyo Mhe. Jaji Lewis anayo amani sana tu ndani ya moyo wake, maana hajaenda nje ya ToR zilizo mweka m,adarakani
   
 8. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Rushwa hupofusha!!!!! Ila asisahau kwamba rushwa nia adui wa haki!!! Mbele ya Watanzania Makame amepoteza kabisa sifa ya kuitwa Justice, sifa yake ni Rtd INJUSTICE makame!!!!! Sijui kama anasoma JF ili apate hisia zangu hizi; I am very serious ajue hili!!!!!!!!
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa raha zake kwanza ata umri umeenda so ata akiwatibulia vumbi vijana na taifa lenu ambalo mpaka lafika miaka 50 bado changa hana cha kupoteza
   
 10. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yule anaonekana kuwa mkatili sana. Unajua taaluma ya sheria ni ya kuangaliwa mara mbili mbili. Sometimes inaleta INJUSTICE.
   
Loading...