emmanuel mruma
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,778
- 1,718
Hivi ww mbona karibu kila comment zako unatetea vitu visivyo na msingi au ni kada wewe jamaa kaeleza vzur kuwa haiwezekan mwenyekit watume ateuliwe nawatu walio madarakani au watawala very simple, akimaanisha ata CHADEMA wakija kuwa watawala haistahili wapendekeze au kuyeua mwenyekiti..... .. Ww umekaa ku comment nonsenseUlitaka mwenyekiti wa tume ya uchaguzi apendekezwe na CHADEMA au mbowe au Lipumba?
Sent using Jamii Forums mobile app