Jaji Ihema wa tume ya Maadili ang'olewe! - Wafanyakazi

Mkapa alimteua Ihema manake alikua anaagenda ya siri...!

Asingeweza kumteua mtu mwenye maadili safi kushika ile ofisi manake awali ya yote Mkapa mwenyewe alikua hana maadili ya uongozi, so the best way akaona ni kumteua mtu asiye na maadili ili aweze kumfichia maovu yake...!

Mi nafikiri watu kama akina Ihema ndio wa kuondokana nao, hawa ndio wanaochelewesha maendeleo ya Taifa letu...! Hizi tabia za kuteua watu tu kwa sababu ni watumishi wa umma umepitwa na wakati, Serikali ingetangaza hio nafasi ya Kamishna halafu watu waombe then wafanyiwe interview halafu atakayefanya vizuri interview ndio ateuliwe kwa kuzingatia vigezo vitakavyokua vimewekwa, lakini hii tabia ya kumteua mtu tu kwa sababu ni Jaji wa mahakama kuu hii itatupeleka pabaya haswa ukizingatia mtu anateuliwa kushika nafasi hio tayari akiwa ana umri wa Miaka zaidi ya 60 yaani baada ya kustaafu Ujaji...!

Hii inakua ngumu sana kwa mtu kama huyu kuwa Inovative na kuweza kusimamia vizuri baadhi ya mambo...!
 
Chikawe mara alipoanza kazi kama waziri wa utawala bora, ofisi za kwanza kuzitembelea zilikuwa hizi za taasisi ya MAADILI, na pale aliwaponda kuwa hawafuatilii hayo mafomu ya uongozi kuona kama watua wanayajaza ipasavyo!! Alisema viongozi wengi hawasemi ukweli wa mali zao kwemye hizo fomu na tume haiwachukulii hatua stahili kwa mujibu wa sheria; hii in ishara tosha kuwa huyu Ihema is on his way out!!
 
Back
Top Bottom