Jaji aliyetoa Hukumu kesi ya Mpendazoe amekuwa Jaji wa Rufaa

UJANJAUJANJA

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
226
122
Wana JF,

Nipo hapa Mahakama Kuu DSM ambapo nimekuja kuhudhuria kesi ya mteja wangu. Kesi zote hapa zinaahirishwa kwa kuwa Majaji wote wapo Ikulu ambapo wamekwenda kuhudhuria uapishwaji wa Majaji wapya wa Rufaa,akiwemo Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma. Nutarudi na taarifa ndefu kumhusu Jaji huyo nikimaliza kesi hapa,ila uteuzi wake tangu alipoteuliwa ba ****** kuwa mwenyekiti tume ya kurekebisha sheria,na baadaye. ujaji ulitokana na jinsi alivyombeba Riz1 wakati akiwa mkuu wa Kitivo cha Sheria
 
Mkuu UjanjaUjanja urudi tena uje utupe mambo kamili maana baba Mwana Asha nae kazidi.
 
Wana JF,

Nipo hapa Mahakama Kuu DSM ambapo nimekuja kuhudhuria kesi ya mteja wangu. Kesi zote hapa zinaahirishwa kwa kuwa Majaji wote wapo Ikulu ambapo wamekwenda kuhudhuria uapishwaji wa Majaji wapya wa Rufaa,akiwemo Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma. Nutarudi na taarifa ndefu kumhusu Jaji huyo nikimaliza kesi hapa,ila uteuzi wake tangu alipoteuliwa ba ****** kuwa mwenyekiti tume ya kurekebisha sheria,na baadaye. ujaji ulitokana na jinsi alivyombeba Riz1 wakati akiwa mkuu wa Kitivo cha Sheria

Hata huyu naye anasingiziwa!! Basi, hakuna anayefaa kuteuliwa ujaji. Basi hata huo ukuu wa Kitivo itakuwa alipewa ili ambebe Ritz.
 
Jaji Ibrahim Juma aliyeamua kesi ya Mpendazoe na aliyekuwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu,Dar es Salaam Jaji Mmila wameteuliwa kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufaa.Sherehe za kuwaapisha zinaeandelea Ikulu muda huu.
 
kazi hipo nakumbuka maneno ya tundu lisu kuusu uteuzi wa majaji wetu na kauli ya bwana mkubwa kule arusha kwenye kikao chao cha majaji kama naona kizunguzungu goja tukusubili uludi ujanjaunjaja
 
Jaji Ibrahim Juma aliyeamua kesi ya Mpendazoe na aliyekuwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu,Dar es Salaam Jaji Mmila wameteuliwa kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufaa.Sherehe za kuwaapisha zinaeandelea Ikulu muda huu.

Hongera zao!!
 
Wana JF,

Nipo hapa Mahakama Kuu DSM ambapo nimekuja kuhudhuria kesi ya mteja wangu. Kesi zote hapa zinaahirishwa kwa kuwa Majaji wote wapo Ikulu ambapo wamekwenda kuhudhuria uapishwaji wa Majaji wapya wa Rufaa,akiwemo Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma. Nutarudi na taarifa ndefu kumhusu Jaji huyo nikimaliza kesi hapa,ila uteuzi wake tangu alipoteuliwa ba ****** kuwa mwenyekiti tume ya kurekebisha sheria,na baadaye. ujaji ulitokana na jinsi alivyombeba Riz1 wakati akiwa mkuu wa Kitivo cha Sheria

Kaka kuwa makini hapo kwenye red.Kwa uelewa wangu Juma ni Jaji mzuri!!!!
 
kwahio tutegemee majaji watakao amua kesi ya kamanda lema nao watapandishwa vyeo
Jaji Ibrahim Juma aliyeamua
kesi ya Mpendazoe na aliyekuwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu,Dar es
Salaam Jaji Mmila wameteuliwa kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufaa.Sherehe
za kuwaapisha zinaeandelea Ikulu muda huu.
 
Hata huyu naye anasingiziwa!! Basi, hakuna anayefaa kuteuliwa ujaji. Basi hata huo ukuu wa Kitivo itakuwa alipewa ili ambebe Ritz.

Wakuu,nimetoka nimetoka Mahakamani sasa na ninaomba niendelee,

Kiufupi sina shaka mimi kama mwanasheria na credentials za Jaji Juma. Kilichotokea ni
hiki,Riz1akiwa mwaka wa pili akisoma LL.B pale UDSM (nilikuwa naye darasa moja) mambo yalimuelemea sana na hivyo akachezeshwa disco. Wakati huo Dr. Ibrahim Hamis Juma (sasa Prof. I.H. Juma) ndiye aliyekuwa mkuu wa Kitivo cha Sheria. Ilibidi afanye analoweza kuwezesha Riz arudi shule na hatimaye alirudishwa kuendelea na shule akaingia mwaka wa 3. Ikumbukwe tu kipindi hicho Baba Mwanaasha alikuwa Wizara inayoongozwa na Membe kwa sasa.Mara tu baada ya mzee kukamata nchi katika kulipa fadhila kwa yaliyofanywa kwa kijana wake,Baba Mwanaasha akamteua Dr. I.H. Juma kuwa mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria (na mpaka ninapoandika haya bado anashikilia cheo hicho). Haikupita muda mrefu,fadhila zikaendelea kulipwa zaidi akateuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Sasa nadhani mkuu ameona amalizie alichokiahidi kwa kumteua kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa kabla ya kipindi chake cha pili hakijaisha.

Mapendekezo:

Kwa lengo la kuepuka favouratism inayofanywa kwenye nafasi nyeti kama hii nashauri tufuate utaratibu wa kupata Majaji kama ambavyo jirani zetu Kenya wanafanya.Nafasi hizi ziwe zinatangazwa kuruhusu wanaodhani wanasifa waombe na kufanyiwa public interviews,itatusaidia kama nchi kujua kuwa mhimili ambao ni kimbilio la wanyonge kwenye kutafuta haki uko kwenye watu wenye mikono safi
 
awamu hii inaongoza kwqa uteuzi wa hovyo
Wana JF,

Nipo hapa Mahakama Kuu DSM ambapo nimekuja kuhudhuria kesi ya mteja
wangu. Kesi zote hapa zinaahirishwa kwa kuwa Majaji wote wapo Ikulu
ambapo wamekwenda kuhudhuria uapishwaji wa Majaji wapya wa Rufaa,akiwemo
Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma. Nutarudi na taarifa ndefu kumhusu Jaji
huyo nikimaliza kesi hapa,ila uteuzi wake tangu alipoteuliwa ba ******
kuwa mwenyekiti tume ya kurekebisha sheria,na baadaye. ujaji ulitokana
na jinsi alivyombeba Riz1 wakati akiwa mkuu wa Kitivo cha Sheria
 
Huu ndio ukweli wa mambo, Kikwete anatoa favour kwa mtu aliyemnusuru mwanae live bila chenga. Mapendekezo yako juu ya uteuzi na ajira za majaji nauunga mkono mia kwa mia.

Back
Top Bottom