Sasa CHANDE tapewa cheo gani?
........Majungu Fitnachande ataongezewa mkataba baada ya kustafu
ChiefmTz atarudishwa mtu aliye disco? Mtu ana disco kabla baraza la senate kupitisha matokeo. Utaratibu uko UDSM, matokeo yanajulikana kabla ya kupitishwa academic committee, Baraza la Senate? Haingii akili ikiwa vikao vyote hivi vimepitia matokeo halafu Mtu mmoja, Mkuu wa kitivo atengue.Wakuu,nimetoka nimetoka Mahakamani sasa na ninaomba niendelee,
Kiufupi sina shaka mimi kama mwanasheria na credentials za Jaji Juma. Kilichotokea ni
hiki,Riz1akiwa mwaka wa pili akisoma LL.B pale UDSM (nilikuwa naye darasa moja) mambo yalimuelemea sana na hivyo akachezeshwa disco. Wakati huo Dr. Ibrahim Hamis Juma (sasa Prof. I.H. Juma) ndiye aliyekuwa mkuu wa Kitivo cha Sheria. Ilibidi afanye analoweza kuwezesha Riz arudi shule na hatimaye alirudishwa kuendelea na shule akaingia mwaka wa 3. Ikumbukwe tu kipindi hicho Baba Mwanaasha alikuwa Wizara inayoongozwa na Membe kwa sasa.Mara tu baada ya mzee kukamata nchi katika kulipa fadhila kwa yaliyofanywa kwa kijana wake,Baba Mwanaasha akamteua Dr. I.H. Juma kuwa mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria (na mpaka ninapoandika haya bado anashikilia cheo hicho). Haikupita muda mrefu,fadhila zikaendelea kulipwa zaidi akateuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Sasa nadhani mkuu ameona amalizie alichokiahidi kwa kumteua kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa kabla ya kipindi chake cha pili hakijaisha.
Mapendekezo:
Kwa lengo la kuepuka favouratism inayofanywa kwenye nafasi nyeti kama hii nashauri tufuate utaratibu wa kupata Majaji kama ambavyo jirani zetu Kenya wanafanya.Nafasi hizi ziwe zinatangazwa kuruhusu wanaodhani wanasifa waombe na kufanyiwa public interviews,itatusaidia kama nchi kujua kuwa mhimili ambao ni kimbilio la wanyonge kwenye kutafuta haki uko kwenye watu wenye mikono safi
ChiefmTz atarudishwa mtu aliye disco? Mtu ana disco kabla baraza la senate kupitisha matokeo. Utaratibu uko UDSM, matokeo yanajulikana kabla ya kupitishwa academic committee, Baraza la Senate? Haingii akili ikiwa vikao vyote hivi vimepitia matokeo halafu Mtu mmoja, Mkuu wa kitivo atengue.