JAJI AJIUZULU: Rais John Magufuli ameridhia ombi la kujiuzulu la Jaji wa Mahakama Kuu Mwendwa Judit

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
JAJI AJIUZULU: Rais John Magufuli ameridhia ombi la kujiuzulu la Jaji wa Mahakama Kuu Mwendwa Judith Malecela kuanzia leo, Ikulu yaeleza.
 
a
Kha hao wasio kuwa vilaza wamefanya nini katika kulinda resilimali za nchi hii
badala yake wanashirikiana na matajiri na wauza madawa
acha ushamba, hivi kwa akili yako unafikiri majaji wanao uwezo kusaidia taifa? kwani wao wanakusanya ushahidi, dpp ndiye anakusanya ushahidi kupitia polisi na kumpeleka mtu kwa jaji, kama ushahidi umekuwa presented vibaya basi jaji hana namna ni kumwachia mshitakika, kama ushahidi umeletwa vizuri jaji hawezi kupata mlango kumwachia mshitakiwa. pia, unafikiri polisi na wanasheria wa serikali kwamfano wanao uwezo kushinda kesi dhidi ya rugemalila na habinder sing seti? watu wanaopata vimishahara vidogo waongoze kesi za mabilionea? hata ningekuwa mimi, niache bilioni hapo au hata m.500 tu ambayo hata akistaafu hapati kwasababu ya kesi ya serikali? serikali? serikali yenyewe ya ssm? chinjia mbali huko.
 
Na wale walioprwa 480m kutoka kwa ruge walifanys nini mpeka wakagawiwa
 
Punguza munkari mkuu
 
Back
Top Bottom