Kha hao wasio kuwa vilaza wamefanya nini katika kulinda resilimali za nchi hiimwishoni atabaki na majaji vilaza tu.
acha ushamba, hivi kwa akili yako unafikiri majaji wanao uwezo kusaidia taifa? kwani wao wanakusanya ushahidi, dpp ndiye anakusanya ushahidi kupitia polisi na kumpeleka mtu kwa jaji, kama ushahidi umekuwa presented vibaya basi jaji hana namna ni kumwachia mshitakika, kama ushahidi umeletwa vizuri jaji hawezi kupata mlango kumwachia mshitakiwa. pia, unafikiri polisi na wanasheria wa serikali kwamfano wanao uwezo kushinda kesi dhidi ya rugemalila na habinder sing seti? watu wanaopata vimishahara vidogo waongoze kesi za mabilionea? hata ningekuwa mimi, niache bilioni hapo au hata m.500 tu ambayo hata akistaafu hapati kwasababu ya kesi ya serikali? serikali? serikali yenyewe ya ssm? chinjia mbali huko.Kha hao wasio kuwa vilaza wamefanya nini katika kulinda resilimali za nchi hii
badala yake wanashirikiana na matajiri na wauza madawa
Na wale walioprwa 480m kutoka kwa ruge walifanys nini mpeka wakagawiwaa
acha ushamba, hivi kwa akili yako unafikiri majaji wanao uwezo kusaidia taifa? kwani wao wanakusanya ushahidi, dpp ndiye anakusanya ushahidi kupitia polisi na kumpeleka mtu kwa jaji, kama ushahidi umekuwa presented vibaya basi jaji hana namna ni kumwachia mshitakika, kama ushahidi umeletwa vizuri jaji hawezi kupata mlango kumwachia mshitakiwa. pia, unafikiri polisi na wanasheria wa serikali kwamfano wanao uwezo kushinda kesi dhidi ya rugemalila na habinder sing seti? watu wanaopata vimishahara vidogo waongoze kesi za mabilionea? hata ningekuwa mimi, niache bilioni hapo au hata m.500 tu ambayo hata akistaafu hapati kwasababu ya kesi ya serikali? serikali? serikali yenyewe ya ssm? chinjia mbali huko.
Punguza munkari mkuua