Jairo na Ngeleja: Nyie lieni wao weraaaaaaaaaaaa

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
PICHA+NA+6.jpg
View attachment 35927
 
Hivvi kama wakiuhulizwa hawa wafanya kazi wanafurahia nini? Na je Katibu wao mkuu anawasidiaje? Na wao sio Watanzania, majumbani mwao wana umeme? Je mgao wa mafuta uliwagusa?.... kuna ndugu zetu wasomi hapo wamepelekwa na upepo kisa mkuu wa idara katoa amri wote tukampokee Katibu mkuu.. Inasikitisha sana...2015 karibu sana!
 
Dah, Jamaa ameimiss ofisi yake kweli kweli. . . .

PICHA+NA+5.jpg
 
Wizara nzima ni ufisadi tuu, upumbavu uliokithiri. . . Ona wanasukuma gari la jairo
PICHA+NA+1.jpg
 
wabongo kwa kujipendekeza tu hawajambo,hawa wafanyakazi litakuwa limewashuka baada ya kikao cha leo cha bunge.aibu kweli
 
Wizara nzima ni ufisadi tuu, upumbavu uliokithiri. . . Ona wanasukuma gari la jairo
PICHA+NA+1.jpg


angalia wajinga hawa wasiokuwa na mbele wala nyuma, TANZANIANS ipo kazi mbele yetu kwa namna hii
 
Halafu eti unakuta mtu anasema Ghdaff mbaya huyo anaesema hivyo anasukuma gari la mtu alieshindwa kubuni mpango wa kumaliza mgao wa umeme wala kuzuia kupanda kwa mafuta loh!!!
 
Wanachokiweza ni kusukuma gari la jairo tu!hawa wapuuzi ndio wanaotukosesha umeme na kupandisha bei za mafuta taa!time will come na tutawawajibisha,tutaenda kuwachukua kwenye mahekalu yao baada ya kustaafu,tutawanyonga hadharani kwani matendo yao yameua wengi,fikiria mama mja mzito aliye kwenye uchungu anapoteza maisha kisa gari la wagonjwa limekosa mafuta,fikiria mgonjwa aliyefariki baada ya kukosa hewa ya oxgen kisa umeme umekatika au generator la hospitali limekosa mafuta.ni hawahawa wapuuzi wanaosababisha resources zetu kunyakuliwa na kuwaacha ndugu zetu wakitandikwa risasi migongoni.wazembe hawa wanahujumu na kuzorotesha uchumi wetu.inauma na kusikitisha watanzania wakiwa gizani, hivi vizee vinatumia muda wa kazi kupongezana!
"Hakika yana mwisho na hayatosahaulika"
 
wasijipendekezeee hehee
1. inawezekana katoa rushwa ili wamshabikie kama waliozimia igunga
2. kama hujamshangilia hapa wewe ndo utakuwa ulivujisha siri
si wote hapo wamefrahi wengine wanaogoma vitumbua
kuingia mchanga hahahahahaha
 
Walianza Monduli,watu wa kawaida hadi maaskofu waliandamana kwenda kumpokea mtu wao,wakaja watu wa Bariadi nao wakampokea shujaa wao mzee wa vijisenti,ikaja funga kazi huko Igunga watu wakazimia na kulia zaidi kuliko wwalivyolia walipokufa ndugu zao,mlolongo ni mrefu kaja jairo naye kapokewa kishujaa baada kusafishwa na Utoah,lakini wote hao wanasahau kitu kimoja kuwa tayari WAMECHAFUKA MBELE YA UMMA WA WATANZANIA,hizo ghiriba zote hazisaidii kitu ,ukishatuhumia utakuwa mtuhumiwa tu hadi kaburini.
 
Nataman nngekuwa na uwezo wa kusogeza cku mbele 2015 ifke. Nna hasra na magamba. SHAME UPON THEIR FACE
 
Hii kitu imenipotezea stimu kabisa leo!!
kudadadeki nchi hii??!! tuna safari ndefu!!

hawa wafanyakazi wa wizara inakuwaje hapa!!! wao umeme kwao unawaka?, mafuta kwao bei chini?
wanapita kwenye barabara zipi?
 
Mafisadi wakubwa wao na wafanyakazi wao wanaojipendekeza kwa kuwashangilia..*kichefuchefu*
 
huyu luhanjo nae..mh na mvi zote hizo hajafika umri wa kustaafu kweli?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom