Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,361
- 33,002
Taarifa za kiintelijensia zinasema kuwa serikali iko mbioni kumstaaafisha katibu aliyesimamishwa kwa kigezo kuwa umri wake wa kustaafu umetimia. Hayo yanafanyika ili Tume itakayoundwa na bunge itakamilisha kazi yake jamaaa awe amestaafu na maamuzi yoyote yatakayofikiwa yasimguse.
Habari ndiyo hiyo. Tanzania zaidi yauijuavyo!
Habari ndiyo hiyo. Tanzania zaidi yauijuavyo!