Jairo Kustaafu Karibuni

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,352
32,990
Taarifa za kiintelijensia zinasema kuwa serikali iko mbioni kumstaaafisha katibu aliyesimamishwa kwa kigezo kuwa umri wake wa kustaafu umetimia. Hayo yanafanyika ili Tume itakayoundwa na bunge itakamilisha kazi yake jamaaa awe amestaafu na maamuzi yoyote yatakayofikiwa yasimguse.

Habari ndiyo hiyo. Tanzania zaidi yauijuavyo!

kama taarifa ni za kweli hizi basi Tanzania hii itakuwa nchi ya vioja.
Jameeyla imeshakua nchi ya vioja siku nyingi zilizopita yanayotokea ni mwendelezo tu. Ninao ushahidi ila kwa leo ninahasira sana sitaweza kuviorodhesha bila kutoa machozi

Kwa tz hii ya leo hilo linawezekana,zingekuwa enzi za mwalimu Jairo angekuwa m magumu ila kwa nchi hii ya uswahiba zatc possible.

duh! hii kazi kweli.....

ila wasifikiri wanaongoza wajinga, hii kitu itawacost sana wakicheza nayo

Ukiwa mtumishi wa umma na ukawa tuhuma...hata baada kustaafu...unawajibishwa kabla haijapita miaka 2 baada ya kustaafu!!hawezi kukwepa hilo hata akistaafu!!

Ukiwa mtumishi wa umma na ukawa tuhuma...hata baada kustaafu...unawajibishwa kabla haijapita miaka 2 baada ya kustaafu!!hawezi kukwepa hilo hata akistaafu!!

Yule Mwanyika aliyekuwa mwanasheria mkuu kafanywaje?

Je yule katibu wa nishati na madini alifanywaje pamoja na yote aliyofanya?

Rais wetu kioja, Waziri Mkuu kioja, Jaji Werema kioja, wakalia kiti cha spika vioja, wabunge wa CCM vioja , RA, EL na AC vioja ukimaliza na kioja kuliko woote - TAKUKURU. PS wa wizara kaandika barua kwenye idara zake akizitaka zichangie pesa ya kupitisha bajeti ya wizara yake hachukuliwi hatua!!
Nchi ya vituko hii....

Hata akistaafu, tume teule itpendekeza PCCB kufanya uchunguzi. Tume itafungua paradox box.

Hata akistaafu, tume teule itpendekeza PCCB kufanya uchunguzi. Tume itafungua paradox box.

Hizo ni wishful thinking tu. Kwa tanzania hakuna mambo kama hayo. Angalia historia utaelewa kwa tz ni nchi iliyopo sayari nyingine

nakumbuka zamani kule kijijini kuku akiwa na kideri hata saa saba za usiku alikuwa anachinjwa.
hapa waungwana sijaelewa ni baba hayupo au kisu kimepotea hadi tusubiri jogoo mkubwa hivi wa kula wiki afe bila sababu?

Taarifa za kiintelijensia zinasema kuwa serikali iko mbioni kumstaaafisha katibu aliyesimamishwa kwa kigezo kuwa umri wake wa kustaafu umetimia. Hayo yanafanyika ili Tume itakayoundwa na bunge itakamilisha kazi yake jamaaa awe amestaafu na maamuzi yoyote yatakayofikiwa yasimguse.

Habari ndiyo hiyo. Tanzania zaidi yauijuavyo!

Kwani Basili na yona walishatkiwa wakiwa mawaziri au nje ya uwaziri? Hiyo anakesi ya kujibu hapo apende asipende kawaingiza wenzake mkenge kuanzia Luhanjo, Ngelleja , Malima wote they Must Goooooooo out

Yule Mwanyika aliyekuwa mwanasheria mkuu kafanywaje?

Je yule katibu wa nishati na madini alifanywaje pamoja na yote aliyofanya?

Kustaafishwa suala lingine na kuhojiwa lingine!!hata ukistafaishwa tuhuma kama zipo na unatakiwa kuzijibu lazima uzijibu ati!!kwa sasa hawawezi kumstaafishahadi tume imalize kazi yake!!baada hapo mapendekezo ya tume ndio yataamuaa hapo ndipo usanii wao mwingine utaendelea!!

Kwa vyovyote vile ... !!

.. na wala haibadilishi chochote kwa namna watakavyomaliza swala la JAIRO ..
.. Serekali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania haijiheshimu na imekosa nidhamu...
.. HAIAMINIKI na SIYAKUTEGEMEA KABISA!!! .. nani haoni hili!!?

Back
Top Bottom