Jairo Jairo una nini wewe ?

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Kuna habari kwenye gazeti la Raiamwema la jana kuwa aliyekuwa katibu wizara ya Giza na migao kafunga ofisi(ya umma) na kuondoka na funguo kwa maelezo eti kuna vitu vyake vimekaa vibaya na eti yuko likizo tu hajafukuzwa kazi.
Nauliza utaratibu huu wa kuondoka na funguo za ofisi ya umma hata kama uko likizo au vitu vyako vimekaa vibaya umeaanza lini ?
Kuna taarifa kuwa aliwahi kufanya hivi pia huko nyuma alipohamishiwa ikulu mlango ikabidi uvunjwe.
 
mimi wananishangaza ni wale walioruka na kulisuma gari lake
kushangilia kurudishwa kwake job....sijui wanafikiria kwa kutumia kitu gani...
 
mimi wananishangaza ni wale walioruka na kulisuma gari lake
kushangilia kurudishwa kwake job....sijui wanafikiria kwa kutumia kitu gani...

Alienishangaza zaidi ni yule cheap Ngeleja, what a shame??

Wanachotumia kufikiria kishajulikana mkuu.......Kaka Ivuga alitusaidia kuweka picha ya hao waliokuwa wanasukuma gari kwa "rear view" na hapo ndo utayajua wanayotumia kufikiria
 
mimi wananishangaza ni wale walioruka na kulisuma gari lake
kushangilia kurudishwa kwake job....sijui wanafikiria kwa kutumia kitu gani...
Aaah! wale walikuwa wanatumiaaa...hivi jina la meya ya Jiji ni nani vile ? hahaha!
 
asante kwa habari hiyo,lakini hili ni jukwaa la jokes..watu tunakuja kucheka hapa, mods peleka hii kwny habari mchanganyiko
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom