Kwa wanasheria wenzangu tuhuma za jairo za kuchangisha fedha hazina base ya sheria, bali ni base ya kisiasa. Tujadili!
lakini ka unahusika nazo inabidi ibe kwanza ndo uachane nazo kwa br R.Aziziteh teh napita tu,,ukitaka kuishi TZ kwa amani uachane na siasa uchwara....dirty politicssss,,,,,,

Who cares kama ni msafi kisheria!..Sheria yenyewe ya Bongo ilimtia hatiani nani wewee?

Tunachoumia nacho ni ukosefu wa sense of responsibility miongoni mwa viongozi wa miongo hii!

Unaponyooshewa vidole na jamii ya WaTanzania wengi hivi, bila kustuka wala dhamiri kukugusa kuwa umekosea, basi hufai hata kuchunga mbuzi, maana hutowaonea huruma!

Jairo has to go!
Kwa wanasheria wenzangu tuhuma za jairo za kuchangisha fedha hazina base ya sheria, bali ni base ya kisiasa. Tujadili!