Kipis
JF-Expert Member
- Jul 23, 2011
- 492
- 61
Huyu si mchungaji bali mchunaji anayewachuna akina Jairo ili awasafishe kama wenzake wengi wenye kufikiri kwa matumbo wanavyofanya kumsafisha Lowassa. Huyu ana uroho na roho mtakakitu badala ya roho mtakatifu. Hakika hawa ndio Yesu alisema ni chui kwenye ngozi ya kondoo. Wapaswa kuchomwa moto kama vibaka kwa kujiingiza kwenye mifuko ya mafisadi. Washindwe na walegee pia walaaniwe. May you perish Lusekelo mbwamwitu mchunaji!
Dah! Mkuu hebu punguza ukali wa maneno tafadhali. Kumbuka huyu ni binadamu kama wewe! kuna kukosea na kupatia. Kama alishawahi kukutenda jaribu kupotezea na kuangalia mambo mengine.