Jailed Tanzanian car thief now linked to EPA scandal

S. S. Phares

JF-Expert Member
Nov 27, 2006
2,138
1,195
Hahahaha watasema "una hate...."!! Ukifukunyuafukunyua zaidi juu ya huyu bwana unaweza kupata bonge la kichefuchefu.....mie naweza kuunganisha dots mpaka nikampa kesi ya kichwa huyu 'ponjoli!!


Wala sio kuhate...Mponjoli alishafungwa jela USA kwa utapeli na hapa UK amefungwa kwa utapeli huo huo, anatakiwa akisha deportiwa akifika Tanzania apelekwe tena jela Segerea kwa kuidhalilisha Tanzania akiwa USA na UK. Hivi hakuna kipengele hicho kwenye katiba yetu..?
 

Nikifufukammekwisha

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
260
0
Wala sio kuhate...Mponjoli alishafungwa jela USA kwa utapeli na hapa UK amefungwa kwa utapeli huo huo, anatakiwa akisha deportiwa akifika Tanzania apelekwe tena jela Segerea kwa kuidhalilisha Tanzania akiwa USA na UK. Hivi hakuna kipengele hicho kwenye katiba yetu..?

Kama katiba yetu ingekua na kipengere cha mtu kufungwa kwa "kuidhalilisha nchi" basi hata mheshimiwa mkubwa kuliko wote naye angekua jela tunavyozungumza sasa hivi.
 

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,534
2,000
Acheni kuchemka. Ngoja nile niwachachafye wote. Eti kawaharibia jina, jina gani? Mnafikiri wenyewe wazungu hawaibi? Hata kama kusingelikuwa na hizi habari, ukionekana tu mpingo kwenye nchi zao, basi unashida. Ngoja nile kiporo changu hapa cha ugali kwa nsansa na naja. Ziwa la mgando tena kutoka kwenye kisawo ahhh kibuyu ........
 

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,534
2,000
Nasikitika kuwa umechelewa kupromote hao Watanzania. Ni sisi tulikuwa tumelala sana sana kwa kuambiwa "fumbeni macho tuombe". Tumekuja kufumbua na kukuta kuna EPA, Deepgreen, Meremeta,EL, RA, Anna Mkapa, nk

Sasa hivi kwa Tanzania tunahitaji njia mbili tu. Moja ni kutengeneza taifa la Wafanya biashara na wezi kama Wayahudi na/au kutengeneza taifa la Kichina kwamba "hardwork na risasi hadharani kwa vibaka....." ila wakati huohuo, kama mtu anaiba nje basi si mbaya...... (angalia Wachina wanavyosaidia unyama Sudan, ila wao mtu kauza maziwa yenye sumu wamemuuwa).

Ningelikuwa Rais, mtu kama huyu unamuingiza kwenye Usalama wa Taifa na anakuwa anaiba na pesa kuzileta Tanzania. Mwisho anafungua kampuni lake na kodi inakuwa inasaidia nchi. Ni kama Wayahudi vile.

Tukishika Misahafu na kufikiri tutafanikiwa, basi tulie tu. Na wewe unayefikiri Wazungu hawajafaidi Africa, hebu kaa kimya. Jiuliza tu kwa nini sasa hivi duniani vita vimepungua na uchumi wao unatetereka? Si wamekwama kuuza masilaha yao? Madege yao nk. Achana na wizi unaofikiri wewe. Biashara ya silaha na vita walizokuwa wanatulazimisha tupigane, vimeuwa sana uchumi na watu na wao kufaidika sana. Angalia Vita vya Almasi. Wafanya biashara wakubwa walikuwa Wayahudi (utawaona tu Berlin na makanzu yap meusi na vibahasha) na faida ikienda USA/Izrael. Wengine wanaleta silaha, wengine wanakuja kununua alimasi kwa bei chee.

Kumkodolea macho kijana kwa wizi huu si vyema. Alichofanya kweli si kizuri, ila DUNIA YA LEO NDIVYO ILIVYO. Kama wewe hujajua hilo basi pole sana, inawezekana kijana wa Kinyakyusa alilijua hilo. Ntamvulia kofia atakayekuja kuwaliza Wayahudi. Ila hawa nasema kabisa, be careful. Watakutafuta hata kwenye mvungu wa kitanda wa nyanya yako. Long live ROBIN HOOD.
__________________
 

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,534
2,000
wewe bwana na wewe saa nyingine una sound kama wale wapiga ngoma za mchiriku unajua...ugggggggggh!....

Na ninasema tena Leave hima lone sema hujapata hiyo opportunity basi mnamshambulia....yeye mpojoli has to do what a man has to do kulisha familia yake he as a year to go na akitoka utamuona anadunda tuu mwenzio sasa hivi ana aprtment building kajenga bongo na anaingiza bado hela yake...na bado biashara zake zingine halali wewe jee?what do you have kukaa jf na kumuongelea yeyeye hahahaha that is a loose loose situation!...gadammit!..

watu mnamshupalia kaka wa watu kama pilipili bwana....you need to get a life this is gadam 2009./...wewe unadiscuss vitu vya mwaka 2007...hebu nendeni na wakati kudadake.

Kely,

Wape sure hawa. Ngoja nimalizie kula naja.
 

Gelange Vidunda

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
313
195
REVEALED: Jailed Tanzanian car thief now linked to EPA scandal

-KEY SUSPECT COULD BE EXTRADITED TO TANZANIA WHEN HE FINISHES HIS SENTENCE

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam


A TANZANIAN man jailed for his part in a multi-million pound car ringing operation in the UK has been linked to the 133bn/- external payment arrears (EPA) account scandal at the Bank of Tanzania, it has been revealed.

British police discovered Mponjoli Malakasuka's connection to the EPA scam while probing his finances.
...................................
..................................
.................................

British police stressed the investigation was in its early stages and it is not clear what links Malakasuka has to the EPA fraud.

However, some of the prominent EPA suspects in Dar es Salaam are known to have a penchant for fancy cars such as the popular UK-made Range Rover Vogue model.

...........................
...........................
...........................

In Tanzania, the Director of Criminal Investigations (DCI), Commissioner of Police Robert Manumba, has already announced plans for a nationwide crackdown on stolen vehicles

Sam pipo bwana! Hooovyoooo!!!!!

This is mere speculation only, trusting SFO to make a clear speculation on the cars stolen in UK and the ones being driven by EPA "criminals". Hata hawajatuambia magari mangapi zaidi ya hayo mawili kwenye kredit kadi moja ndio aliyeiba Dr. Ponjo - EPA wanaendesha magari mangapi ya kifahari?

Eti wengine wanauliza kama akirudi apelekwe Segerea kama sheria hiyo ipo!! What bs crap is that? The man served his sentence according to the rules of them countries so let him be! He did the crime and he served the time over there sasa sisi huku ya nini kupiga kelel humu JF on some speculations! Come on, now!

Halafu sasa ya nini kuonganisha issue zingine za watu wa Texas na "watoto wa wakubwa" eti "wanaowaibisha waTanzania"? Hao watoto wa wakubwa wapo wangapi? Wewe chakalika kivyakovyako na wewe ufungue a legitimate Limo service maybe then you will stop blabbering here on JF!

kelly01, I hear you, girl, loud and clear!!
 

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,392
2,000
POlice wa UK nimesoma mahali mtandaoni kuwa wamefilisi mali zote alizowekeza Tanzania na UK. Chezea nchi ya watu wee..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom