Jahazi imezama ikielekea Songo songo kutokea Mafia

Hiyo midude ya kwenda songo songo ni suicide mission, niliwahi kupanda pale Kivinje, hakuna dhoruba ila dude linachota maji, inabidi wawe wanayatoa na ndoo, nilipofika niliapa kutumia gharama yoyote kutorudi na midude hiyo, nikatafutiwa viboti vidogo, daaah, mara dereva kakalia pipe ya kupeleka mafuta kwenye injini, kikazima kati kati huko, huna hunachoona!

Nasikia jamaa walikataa uwekezaji wa Bakhresa, sayansi nyeusi kubwa ikatumika kuzuia boti za kisasa kutembea kule.

Pole kwa familia.
 
Ni lile jahazi lililoondoka jana jioni?
hio iliondokea bandari ya jibondo kabla ya kuondoka kuna jamaa walimpakia alikuwa mgonjwa walikuwa wanampeleka kwao kilwa kabla jahazi kuondoka yule mgonjwa alifariki akiwa ndani ya jahazi kosa walofanya wakashusha maiti maiti ikachukuliwa ikazikwa siku pili wao baada kushusha maiti waliondoka usiku ule ule usiulize kitutia na nyuni
 
Wafu huwa hawatendwi sijui kwanini wanakuwa na nguvu kiasi hiki
 
hio iliondokea bandari ya jibondo kabla ya kuondoka kuna jamaa walimpakia alikuwa mgonjwa walikuwa wanampeleka kwao kilwa kabla jahazi kuondoka yule mgonjwa alifariki akiwa ndani ya jahazi kosa walofanya wakashusha maiti maiti ikachukuliwa ikazikwa siku pili wao baada kushusha maiti waliondoka usiku ule ule usiulize kitutia na nyuni
Kitutia hapo ni balaa Naikumbuka jahazi yangu Mv Ikoiko kipindi hicho
 
hio iliondokea bandari ya jibondo kabla ya kuondoka kuna jamaa walimpakia alikuwa mgonjwa walikuwa wanampeleka kwao kilwa kabla jahazi kuondoka yule mgonjwa alifariki akiwa ndani ya jahazi kosa walofanya wakashusha maiti maiti ikachukuliwa ikazikwa siku pili wao baada kushusha maiti waliondoka usiku ule ule usiulize kitutia na nyuni
mshaanza mambo yenu ya code.

wahenga bana.
 
hio iliondokea bandari ya jibondo kabla ya kuondoka kuna jamaa walimpakia alikuwa mgonjwa walikuwa wanampeleka kwao kilwa kabla jahazi kuondoka yule mgonjwa alifariki akiwa ndani ya jahazi kosa walofanya wakashusha maiti maiti ikachukuliwa ikazikwa siku pili wao baada kushusha maiti waliondoka usiku ule ule usiulize kitutia na nyuni
Maiti inahusiana vipi na jahazi kuzama?
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom