Uingereza ulienda lini?Are u mad or something...
For instance, Magufuli is not a presidential material. Sasa hapo utapima mwenyewe ili mtu uwe raisi unatakiwa uweje.Presidential material anakuwaje? Acha wivu
Huyo kwao hakuna maendeleo bora wangemchagua Kingwendu.Halafu ana wake 4 jee huoni tatizo hilo?Jamaa namkubali sana ametulia naamini atatufikisha mbali sana....
Km kweli anaandaliwa na iwe kweli...
Piga kazi jafo
Usikute wewe ndo mheshimiwa mwenyewe, upo kwenye vx ya wizara kiyoyozi cha ngùvu umetoka kula mchemşho wa samaki kìbua ukàjianzishia uziPromo wakati anastahili simjui na wala hanijui@ zaidi zaidi mi namuona kwenye TV tu..
He is just" one eyed man among the blinds"..........anyway kila mtu anaweza kua raisi wa Tz hilo nilisha ligundua as long akitoka kwenye timu ya Yanga.He is not a presidential material.. May be RC or DED