Uchaguzi 2020 Jafo for presidency 2025

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Jamaa namkubali sana ametulia naamini atatufikisha mbali sana.
Kama kweli anaandaliwa na iwe kweli.
Piga kazi Jafo
 
He deserves kwa sasa yeyote anayeweza kutofautisha shati na blauzi anaweza kuwa rais!
 
Jamaa namkubali sana ametulia naamini atatufikisha mbali sana....
Km kweli anaandaliwa na iwe kweli...
Piga kazi jafo
Huyo kwao hakuna maendeleo bora wangemchagua Kingwendu.Halafu ana wake 4 jee huoni tatizo hilo?
 
Promo wakati anastahili simjui na wala hanijui@ zaidi zaidi mi namuona kwenye TV tu..
Usikute wewe ndo mheshimiwa mwenyewe, upo kwenye vx ya wizara kiyoyozi cha ngùvu umetoka kula mchemşho wa samaki kìbua ukàjianzishia uzi
 
He is not a presidential material.. May be RC or DED
He is just" one eyed man among the blinds"..........anyway kila mtu anaweza kua raisi wa Tz hilo nilisha ligundua as long akitoka kwenye timu ya Yanga.
 
Back
Top Bottom