Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,153
- 21,293
Nchi yetu Ni kubwa sanaa, suala la kusema hakuna madarasa ya kutosha Ni kukwamisha juhudi za mh raisi
Nchi yetu ni donor country haiwezi kukosa madarasa ya kuwafundishia watoto
Tuna ndege, tumejenga madaraja, fly over, train ya umeme, miradi mikubwa ya mabillion tumetekeleza
Hatuwezi kushindwa kujenga madarasa ,tafadhali katengue kauli yako, unatuangusha mh jaffo, unatikatisha tamaa
Unamaanisha nchi yetu imekwama kabisa kujenga madarasa
Aisee