Jaffo ameisaidiaje Kisarawe kwa wadhifa alionao?

Mkungwa

Member
Dec 27, 2016
20
5
Ebu nisaidieni mawazo huenda kuna vitu amevifanya Mimi sijaviona naomba jicho la tatu linisaidie
 
Nafsi aliyopewa inamlazimu aangalie taifa zima kwa mapana yake, kuliko jimbo lake!

Na endapo ikitokea akapendelea kwao "kisarawe" bado tupo tutakao lalamika kuwa ni mbinafsi!

Ngoja na wengine waje, ila muda bado upo mwingi mbele yake, kwa jamii ya "kisarawe" kumuhukumu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom