Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

Hao wanajuana wao kwa wao bwana hata kama ni kicheche nafikiri angetumia busara zaidi na kukaa kimya kuliko kuanza kuongelea ishu kama hizo tena public halafu kuzipeleka facebook na unaanza kumtrash mtu

Jamani hawa ndo maselebriti wetu!Mbona ya kina Tiger yalikua hot hot news?Mwacheni mshkaji aseme..kama walivyoanza watu walifuatilia..maendeleo wakafuatilia na sasa tamati hawawezi kuacha kufuatilia!
 
Hongera sugu kwa kazi nzuri. Mpira wa kona hauna mwenyewe hata beki anafunga ha ha ha
 
Hao wanajuana wao kwa wao bwana hata kama ni kicheche nafikiri angetumia busara zaidi na kukaa kimya kuliko kuanza kuongelea ishu kama hizo tena public halafu kuzipeleka facebook na unaanza kumtrash mtu

Mkuu mie ukigombana na AD siingilii najua kila mchele unautamu wake wa mbeya na wa shinyanga unatofauti so siku mkikumbukana mtatuona sie hatuna maana maana utaanza ohh jamaa aliniambia we hufai so and so si unajua mtalaka hatongozi? anashikwa tu mkono...........
 
kweli bwanamdoga hana busara hata chembe, hata kama umechwa sio kupiga kelele kwenye public... Huo ni upuuzi mkubwa tena sana.... Watu wanakimbiwa na wake zao ije kuwa wewe.... Au kwakuwa kakufukuza na kwake???????? Huu upuuzi lazima una sababu, kuachana ni kitu cha kawaida as long as ilikuwa ni furahisha jungu, je ingekuwa ndoa!!! Kuwa na busara bwana mdogo maisha ndivyo yalivyo na ujifunze usipende sana kuchukua watoto wenye hela.... Wewe unachukua mwanamke anakuhudumia kila kitu akikumwaga lazima utachanganyikiwa tu!!!! Pole ndio ukubwa huo!!!:coffee:
 
Duh...ndege wawili kwa jiwe moja 'musiki na siasa"..Jafarrai gombea hata udiwani 2015...:sorry:
 
Sugu moto chini...teh teh teh teh..jaf pole sana njoo mtaani 2sote wote na madem wataftaji
 
Jaffarai wa WATEULE sasa anaweweseka, nimesoma kwenye Facebook Wall yake, anadai eti Mbunge wa Mbeya Mjini Mr. Two a.k.a sugu eti anatembea na Shyrose.
Kaongea mengi sana ya matukano na ya kudhalilisha.
Hakika kijana anatapatapa baada ya kukosa ndege mwanana.
Namshauri akae kimyaa atulize moyo, atapata mwingine, kwani yeye sio wa kwanza kuachwa na wala hatokuwa wa mwisho.
 
Mkuu mie ukigombana na AD siingilii najua kila mchele unautamu wake wa mbeya na wa shinyanga unatofauti so siku mkikumbukana mtatuona sie hatuna maana maana utaanza ohh jamaa aliniambia we hufai so and so si unajua mtalaka hatongozi? anashikwa tu mkono...........
Ha ha ha ha lol!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani hawa ndo maselebriti wetu!Mbona ya kina Tiger yalikua hot hot news?Mwacheni mshkaji aseme..kama walivyoanza watu walifuatilia..maendeleo wakafuatilia na sasa tamati hawawezi kuacha kufuatilia!
Huo ni ulimbukeni lizzy halafu Tiger is well known over the world na alikuja aka-confess natamani nisikie upande wa pili wa Shyrose na yeye anasemaje na pia upande wa MR 2 ila najua kwa status aliyonayo MR 2 hawezi kuanza kurushiana maneno na huyo dogo
 
anasema wabunge wengine sio, its nonsense kwakweli. Dume zima linaenda media linatangaza ameibiwa mke shame on him.
 
Itabakia tu, "sugu moto, sugu moto juu." kamua kwa hasira aliyekuwa mme wa jaffaray ha ha ha
 
daima mafanikio yanaongaza na maadui.
Wote ni vijana wa Mbeya, lakini JAFARI ni mjinga tangu anasoma SANGU, hata darasani alikuwa ni zuzu ni mtu wa kumpuuzia tu
 
sugu namkubali katika anga zingine ila hizi za mahusiano hapana.... mbilinyi ni bingwa wa mipira iliyokufa hapo ni kama kaokota embe chini ya muarobaini si ajabu nae akapaki kama jafarai badala ya kugonga na kujikataa.....
 
Hao wanajuana wao kwa wao bwana hata kama ni kicheche nafikiri angetumia busara zaidi na kukaa kimya kuliko kuanza kuongelea ishu kama hizo tena public halafu kuzipeleka facebook na unaanza kumtrash mtu

Nimekuelewa kaka,wajua hatuna level moja ya busara.......
 
Daima mafanikio yanaongaza na maadui.
Wote ni vijana wa Mbeya, lakini JAFARI ni mjinga tangu anasoma SANGU, hata darasani alikuwa ni zuzu ni mtu wa kumpuuzia tu
 
Huo ni ulimbukeni lizzy halafu Tiger is well known over the world na alikuja aka-confess natamani nisikie upande wa pili wa Shyrose na yeye anasemaje na pia upande wa MR 2 ila najua kwa status aliyonayo MR 2 hawezi kuanza kurushiana maneno na huyo dogo
Na Jafarai is known all over Tz!Ngoja mama nae atakomfesi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom