Jadili picha hii

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
247
Viongozi+CCM+LUTON.jpg

Viongozi katikati waliokaa M/kiti Tawi UK MAINA OWINO kulia mwenye kofia ABRAHAM SANGIWA Katibu wa shina jipya Luton na kulia M/kiti shina jipya Luton ALBERT NTEMI na Wliosimama toka kulia mwenye kofia Mjumbe shina jipya SAMMY MARTIN,na JOHN MBWETE then KELVIN KISHE Mjumbe wa London paomoja na Dr.FRANK MUHIZA London
 
hivi walikwenda uingereza kufanya nini? walichokimbia huku ndicho wanakifanya huko!!!!! pathetic minds
 
Viongozi+CCM+LUTON.jpg

Viongozi katikati waliokaa M/kiti Tawi UK MAINA OWINO kulia mwenye kofia ABRAHAM SANGIWA Katibu wa shina jipya Luton na kulia M/kiti shina jipya Luton ALBERT NTEMI na Wliosimama toka kulia mwenye kofia Mjumbe shina jipya SAMMY MARTIN,na JOHN MBWETE then KELVIN KISHE Mjumbe wa London paomoja na Dr.FRANK MUHIZA London

hao watu wanataharifa kuwa picha yao ipo JF, no comment
 
Traitors and cowards...!

Ni kwanini wasije kuendeleza chama nchini kwao. Kule misungwi, tandale uzuri, kule bukene, mbalali, singida vijijini etc...! Wanafunga safari na kujitia wao ni wakereketwa wa CCM wakiwa huko nje...!

Pengine hawa ndio wanaolinda au kusimamia accounts za hawa viongozi wanaoiba hela huku na kuzipeleka huko...!
 
« Wali », « wari » wamependeza sana,
Siasa, Shibuda style, Fatma Magimbi style !
Hata hivyo, wanahaki ya kujiunga na kikundi, chama wakipendacho,wakitakacho.
Demokrasi bana - Musiwabuguzi !
Ya upinzani,ushindani yamewashinda.
Wamefuata ushauri,if you cant beat them....................
Pengine hatua yao hii itawasaidia kupata kibali cha kuvuna shamba la bibi.
Welcome to the candy shop!
 
Lazima waifagilie ccm manake ndio iliyowapeleka huko baada ya wizi ya mali za umma. Wanyonyaji wakubwa.
 
Hawa jamaa ni wazee wa box ile mbaya...! ukibahatika kufika pale kwenye kijiwe chao cha kula ugali na nyama choma pale kwenye mgahawa wa wanaigeria london mitaa ya milton kyenes hawaishi porojo na kuiponda the greens na msimamo wao wa kukukataa DUO-CITIZENSHIP...! wanafikiri kuingia huko ndo hiyo ishu itakubaliwa...! CRAP..:whoo:
 
Tehe tehe tehe teheeeeee. Saa ya ukombozi ni sas, na wkati wa kuwaangazia nuru waabudu tumbo ni huu. Ewe ndg! Eti mtito wa dada yako aliyefauru kujiunga na sec school kule Shilimatinde, na akaweza kupewa mahitaji yote na mme wa dada yako ili aanze hiyo form 1 yake pale St Govrnmt Sec school, ambayo imejengwa na nguvu za dada na shemeji yako kwa njia ya ujenzi wa sec za kati, na wakalitimiza hili kwa moyo wa dhati; lakini wanachama wenzenu wanshika hatamu ya serikali wakashindwa kupeleka waalim pamoja na vifaa. Je, huo uanachama wako huko ughaibuni, unamsaidiaji dad yako, shemeji yako na huyu mwipwa wako! Vipi, yule mama yako mdogo aliyelazwa hospitalini pale Kisarwe ni km chache tu kutoka Magogoni, lakini Dr kamwacha afe kifo cha taratibu kwa kuwa hawezi kumfanyia upasuaji kisa tu hospitali haina maji; hili la uanachama wako linampiga tafu vipi.
Karibuni, bongo tule ugali kwa picha ya samaki.
 
Kama CCM wanafanya vizuri kwa nini wanaishi uhamishoni??? Si warudi walijenge Taifa!!!
 
Back
Top Bottom