Jadili: CCM na Chadema hawataki mgombea binafsi

simbilisi

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
792
0
Mwanzoni tulijua kuwa CCM Hawataki kwa kuhofia wanachama wengi wataondoka CCM na kugombea uongozi mbalimbali kwa bendera ya mgombea binafsi

Jinsi hivi vyama vinavyozidi kukua na mission zao kuendelea kujulikana kwa watu kuwa ni wahuni tu vinajianika

leo hii CHADEMA chama ambacho kilichojipambanua kina demokrasia wakati haionekani nacho HAKITAKI HATA KUSIKIA SWALA LA MGOMBEA BINAFSI

So nguvu na jitihada za mtikila za kuligombea hili kwa faida ya watanzania wengi wasio na vyama litapata ugumu kwani CCM na chadema wataungana katika hili

Kwa hali za kisiasa ndani ya vyama hivi, kupaka na kuzushia watu uongo leo hii vinahaha hiki kipengele kisipate nguvu

Nguvu ya umma, itaamua,

Tutakombolewa kutoka kwenye udhalimu wa vyama vya siasa

Mungu Ibariki Tanzania
 

Kamundu

JF-Expert Member
Nov 22, 2006
3,913
2,000
Ugombeaji si haki ya chama bali ni haki ya raia. Hivyo ki katiba mtu yeyote anaweza kugombea kama ana sifa bila kujali agenda za chama
 

Daffi

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
3,827
2,000
Unamaanisha kuwa chadema inamwogopa zito kuwa atagombea kama mgombea binafsi!!!hell!!he is nothing bu idiot!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom